Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,079
Hiki Kinywaji Sihitaji Kujua Hata Kinaitwaje. Nilivyokiona Tu Koo Langu Limenikauka!
Watu hawataangalia kinywaji. . . .!!!!
Kipi?! Hicho alichoshika!?
Mambo gani sasa haya ya kuongezeana kiu jamani???!!!Tusaidiane jina la hicho kinywaji
Tusaidiane jina la hicho kinywaji
Hapana mkuu .... Hicho kilicho kwenye chupa na glasi
Mambo gani sasa haya ya kuongezeana kiu jamani???!!!
Aisee fundi wa tiles alikuwa ananyosha kichizi floor imependeza!
Hahaa mkuu .... Ukiacha kinywaji nimependa pia design ya kochi
robertsonTusaidiane jina la hicho kinywaji