Afande kaweesi
Member
- Sep 11, 2018
- 51
- 60
almost product zote za mohamed enterprise za upande wa vyakula ni batili. hii ni kwa mujibu wa rafiki yangu anayefanya kazi kwenye kiwanda moja wapo cha Mo.
unaambiwa hata yale maji yao ni batili. kaa mbali na badhaa za vyakula vya Mo.
Akili za watanzania ukifikilia unabaki unawahurumia tu!!yaani unaongea bila evidence wala fact,na bado unajiona ni binadamu uliyekamilika?!!! Kinachowaweza watanzania ni ccm tu,na kinawagruza kama chapati...
Zina tatizo gani kaka
Hiyo ya azam niliijaribu nikawa napata diziness ya kufa mtu. Naiogopa kama motoJaribu ktmia energy nyngne....wengne wakinywa ya azam wanapata tonsillits
Kuna aliyewahi kujisikia hali hii baada ya kutumia hiki kinywaji?
Duh hebu dadavua dudu, ndio ugonjwa wangu huu!!Kuna wapumbavu huwa wanachanganya k vant au konyagi na hizi energy drink, maisha yao huwa ni mafupi mno...
Sorry Dogo, usifananishe pombe na vitu vya kijinga!!Mimi mwenyewe nashangaaga yana nini haya mavinywaji...hayana tofauti na pombe...
Yani Mimi kama sinywi pombe nakunywa maji au natural juice hayo maenergy sio kabisa.
Huwa nashangaa wanakunywa hayo sijui ma ernegy
Hawajui hiyo ni sumu Mara kumi unywe bia
MakinikiaKunywa masumu yako zama hizi c za vitu vitamu kwani huko hamna k vant
Mkuu hii taarifa inaweza trend vipi wakati mwenye shida ni yeye peke yake?
Haya madude sio mazuri kiafya ila watu wanalazimishia tu.
Mkuu ulichokisema kinanipata kwa asilimia 100 nikitumia hiyo mamboHabari waungwana, jana nilinunua kinywaji cha MO EXTRA nikanywa.. Baada ya muda fulan nikaanza kujisikia tofauti...
Maumivu kiasi upande wa moyo kisha yakapotea...
Maumivu ya abnomial hasa upande wa kulia kupanda juu hado katikati ya kiuno na ubavu wa mwisho.... Usawa wa figo
Uvivu katika kufikiri ilhali najisikia uchangamfu kiasi....
Kuna aliyewahi kujisikia hali hii baada ya kutumia hiki kinywaji?
Wajuvi wa afya mna maoni gani juu ya kilichonisibu?.. View attachment 1145914
Sina uhakika mkuu,cha muhimu ni kuwa kila unaponunua hivi vinywaji ni vizuri ukasoma Nutrition facts ili ujue ni kinywaji gani kinakufaa,mfano mimi kuna kipindi nilitumia sana kahawa ikaniletea shida ya hypertension,toka wakati huo ninaiogopa na nina miaka zaidi ya miaka15 sijawahi tumia kinywaji chenye caffeine...
Mimi zile za azam ziliniletea afya mbovu.hivyo sinywi energy inayotengenezwa TanzaniaHabari waungwana, jana nilinunua kinywaji cha MO EXTRA nikanywa.. Baada ya muda fulan nikaanza kujisikia tofauti...
Maumivu kiasi upande wa moyo kisha yakapotea...
Maumivu ya abnomial hasa upande wa kulia kupanda juu hado katikati ya kiuno na ubavu wa mwisho.... Usawa wa figo
Uvivu katika kufikiri ilhali najisikia uchangamfu kiasi....
Kuna aliyewahi kujisikia hali hii baada ya kutumia hiki kinywaji?
Wajuvi wa afya mna maoni gani juu ya kilichonisibu?.. View attachment 1145914
Nachokiona hapo wewe ndio unamatatizo na si kinywaji.Habari waungwana, jana nilinunua kinywaji cha MO EXTRA nikanywa.. Baada ya muda fulan nikaanza kujisikia tofauti...