Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
There you are Mzee Mwanakijiji, sasa tunakaribia ku sail the same boat kwenye hii issue ya ratification.what?? sijui kama naelewa hoja yako maana inaingia kwenye matatizo zaidi! Tatizo lako ni kuwa ratification haikufanyika "IN" Zanzibar na siyo kwamba haikufanywa na chombo halali cha Wazanzibari? Kwamba, inaweza kuwa ilifanywa "Bara" na Wazanzibari lakini kwa vile haikufanyika "IN" Zanzibar basi ratification haikuwa sahihi? Au unachosema ni kuwa Zanzibar hawakuratify kabisa articles za union ili Muungano uwe kamili?
1. Kwanza lazima tukubali facts kuwa document ya ratification kuonyesha ratification ilifanyika Zanzibar ipo!. Document hiyo iliwasilishwa na Karume katika bunge la Tanganyika mara baada ya bunge la Tanganyika kuuratify rasmi muungano na ni kupitia documents hizo, Tanzania as a union of one nation ikapeleka barua UN kukalia rasmi kiti cha Zanzibar na Tanganyika!.
2. Hiyo document ratification ilipaswa kufanyikia Zanzibar kama ilivyofanyika Tanganyika, lakini hakuna kilichofanyika Zanzibar na badala yake Document iliibukia kwenye bunge la Tanganyika!.
3. Kwa vile ratification inadaiwa ilizungumzwa tuu Zanzibar kwenye kikao cha BLM na kukubaliwa kwa kauli moja!, hakuna kumbukumbu zozote za kikao hicho cha BLM kilichoridhia muungano bali kilichopo ni kumbukumbu ya kauli ya Karume akimweleza Babu ambaye pia ni mjumbe wa BLM kuwa wajumbe wote waliridhia kwa kauli moja!. Ratification hairidhiwi kwa kauli bali kwa maandishi!.
4. Tuseme kuwa ni kweli BLM walifanya kikao cha dharura na kutokana na dharura yenyewe hakuna miniti za kikao hicho, baada ya kauli ile ya kuridhia muungano, process ya ratification ilitakiwa ifuate ndipo document iende UN.
5. Swali ni kama ni kweli Zanzibar haikuridhia ile document ya Karume kuwa waliridhia, ilitoka wapi?.
Samahani jana nilitingwa sana nikashindwa kunalizia, leo na sacrifice to work overtime at the expence of family togetherness ili kuwatumikia wana jf. Hivyo baadaye leo endelea kufuatana nami kule kwenye thread rasmi ya ratification nitakujulishwa na jinsi hao wamerekani wako walivyo danganywa na jumuiya nzima ya kimataifa!. Ratification hufanywa na vyombo halali vikiwa sehemu halali!.
Pasco.