Kinyume chake

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,362
2,000
Ukitoka nje unaingia ndani..ie ndani ya nyumba,ofisi,zizi,uwanja etc
ukitoka ndani ya hizo sehemu wanasema unatoka nje,why not umetoka ndani unaingia nje? Wakati umetoka ndani?
nisaidieni wakuu
 

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
7,671
2,000
Ukitoka nje unaingia ndani..ie ndani ya nyumba,ofisi,zizi,uwanja etc
ukitoka ndani ya hizo sehemu wanasema unatoka nje,why not umetoka ndani unaingia nje? Wakati umetoka ndani?
nisaidieni wakuu

Hatusemi tunaingia nje kwa sababu nje hakuko-confined kama ilivyo ndani, pako wazi na free kwa kila kitu chochote kile, unaweza hata ukasitukia unandondokewa na kinyesi cha ndege anayepita akiruka juu angani akiwa na safari zake, na asijue kama amekudondoshea wewe. Tofauti na nje, ndani kuko confined, na ukiwa ndani, hata anga au jua huwezi kuviona unless nyumba yako iwe haina paa, au kama ni vipi utaviona kupitia kwenye madirisha ambayo ni transparent,..., buty an discharge from them will not get at you, vitaishia kwenye ukuta wa nyumba au paa lake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom