Hivi vidude ni troublemakers visumbufu na vinavyopenda mno kuwachokoza wanawake na vinapenda mno kufanya mauzauza lakini havina madhara kivile na ni vioga Saana...hupenda kufanya mambo yake kwa kushtukiza kujificha na kuvizia
Jamaa jasiri maana hata sijui anampeleka wapi, naomba nisikutane na hiyo kitu japokuwa siku hizi nikikimbia ni kama nakwepa tope siku hiyo mbio za uhakika sitapatikana