Mwanzo nilikuwa mbishi sana juu ya uwepo wa hivi viumbe...lakini kuna cku 2003 nilikutana nsvyo viwili...lakini vile vilikuwa vifupi sana tofauti na hiki!

Ni kweli mkuu, from your knowledge...je hawa ndio misukule? Km jibu ni hapana, je wana uhusiano gani na binadamu wa kawaida??? Wanakula nn? Wanaishi ktk mazingira gani?😕

Hivi vidude ni troublemakers visumbufu na vinavyopenda mno kuwachokoza wanawake na vinapenda mno kufanya mauzauza lakini havina madhara kivile na ni vioga Saana...hupenda kufanya mambo yake kwa kushtukiza kujificha na kuvizia