Kinyago ulichochonga mwenyewe kinapokutisha unafanyaje!?

Muite na umwambie ukweli na onyo kali

mwanza kwetu
 
Epuka sana mtu mfitini iwe kwenye kazi majumbani au kokote pale

Unasema unahofia kumfukuza kwa kuogopa deni kutolipwa, je mlivyolipana mliwekeana conditions gani? Mliandikishana??

Kila mtu abebe msalaba wake, ukianza kusaidiana kubeba wa mwenzio wa kwako utakuelemea.
Kwa vile mimi ndio namdai na anafanyia kwetu nina uwezo wa kulidai kwa urahisi zaidi na yeye asiweze kana kama tulikopeshana!.
Moja ya kitu nisichotaka kwa mtu wa karibu ni fitna thats why sioni wala sijisikii kumsamehe!..
Kwa hii ishu ya kumlia timing inanibidi nimtengenezee plan tukimalizana tu na yeye ile kwake!.. Mama yake atanilalamikia sana though!.
 
Muite na umwambie ukweli na onyo kali

mwanza kwetu
Mwite mchane live makavu then mwache aendelee.akizingua tena hapo.fire him

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikimuita na kumwambia ukweli then tukaendelea kama kawaida anaweza kujasanya ushahidi wa kuwapelekea washirika. Nafikiria kumtumia dogo wake kama security yangu ili aone aibu. But naona bado nitaweza feli kama aibu ni msamiati tata kwake!.
 
Kwa vile mimi ndio namdai na anafanyia kwetu nina uwezo wa kulidai kwa urahisi zaidi na yeye asiweze kana kama tulikopeshana!.
Moja ya kitu nisichotaka kwa mtu wa karibu ni fitna thats why sioni wala sijisikii kumsamehe!..
Kwa hii ishu ya kumlia timing inanibidi nimtengenezee plan tukimalizana tu na yeye ile kwake!.. Mama yake atanilalamikia sana though!.
Ukianza kufikiri flani atanifikiriaje, flani atasemaje, flani atanionaje hutapiga hatua, ishi maisha yako wewe, pasipo kuingiza vitu havina msaada kwako japo ubinadam wakat mwengine unaponza kama hivyo

We umeuona ustaarabu yeye hakuwaza kua wewe ndio umemsaidia kumfikisha hapo, huyo s rafiki abadan
 
Nikimuita na kumwambia ukweli then tukaendelea kama kawaida anaweza kujasanya ushahidi wa kuwapelekea washirika. Nafikiria kumtumia dogo wake kama security yangu ili aone aibu. But naona bado nitaweza feli kama aibu ni msamiati tata kwake!.
Kama unahisi anatabia za kike hapo angalia ugali wako maana tayari yeye hana maana kwako

mwanza kwetu
 
wewe muonee huruma atakuumiza, shauri yako
 
Ukianza kufikiri flani atanifikiriaje, flani atasemaje, flani atanionaje hutapiga hatua, ishi maisha yako wewe, pasipo kuingiza vitu havina msaada kwako japo ubinadam wakat mwengine unaponza kama hivyo

We umeuona ustaarabu yeye hakuwaza kua wewe ndio umemsaidia kumfikisha hapo, huyo s rafiki abadan
Thanks ushauri wako nitaufanyia kazi.
 
Ukicheka na nyani utavuna mabua ,wahenga tulisema.
Ukitaka kuua nyani usimtazame usoni
Namna ya kumsaidia hapo, hakikisha kabla hajatoka anafaham kosa lake.

Kama unahuruma saana mtaftie kitengo kingine.. Vinginevyo jiandae kuvurugwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom