Kinondoni mabomu yanarindima na helicopter juu inazunguka...

ﻑﻮﺳ ﻥﻭﺩ .ﺍﺬﻫ ﻰﻠﻋ ﻪﻠﻟﺍ ﺎﻨﺗﺪﻋﺎﺴﻣ ﻰﺟﺮﻳ .ﻞﺸﻔﻧ
 
unataka kuikokjolea nini??
ﻑﻮﺳ ﻥﻭﺩ .ﺍﺬﻫ ﻰﻠﻋ ﻪﻠﻟﺍ ﺎﻨﺗﺪﻋﺎﺴﻣ ﻰﺟﺮﻳ .ﻞﺸﻔﻧ
 
Lazima nipendekeze kwenye Tume ya Katiba kuingiza kipengere kitakacho wabana wale wote wanaotumia ulaghai ukiwemo wa kidini kuingia ikulu kuwajibika na makosa hayo hata kama watakuwa wamemaliza muda wao wa Urais.
Sitakubali kuona wananchi wa nchi hii kusumbuliwa na Wahuni wachahe kwa mwavuli wa dini.
 
image10.png
He, Rooney gani anachapia namna hiyo? Huyu atakuwa ROONEY Mswahili!!
 
Aiseeee babaangu aliye anzisha maswala ya udini amesharudi ngoja 2one atatowa uwamuzi gani
 
kufa kwa watz ni sadaka ya mtawala,bila damu kumwagika hatasema kitu,utawala wa kishetani unahitaji damu za watu mtaona
 
Ninavyoandika Mabomu yanasikika kutoka msikiti wa Mtambani Kinondoni. Barabara ya Kawawa kupitia kinondoni Imefungwa kwa Muda Vijana wa Kamanda Kova wanarusha mabomu huku wengine wako juu wanazunguka. Taharuki ni kubwa hasa kwa wanonunua na kuuza sokoni na wagonjwa kwa Dr Mvungi!! TUTAFIKA ?
............That is the reason i adore the Muslims!!!!
 
Nakupa ushauri mkuu. Andaeni maandamano ya amani kupinga wahuni kutumia dini yenu kwa kufanya fujo. Toeni tamko kali, na shirikianeni na polisi kuwafichua wanaotaka kuleta Boko haram TZ. Jitofautisheni kwa vitendo mtaaminika.
eee! unasema...!
 
Back
Top Bottom