Kinondoni mabomu yanarindima na helicopter juu inazunguka...

Ndugu yangu umeniacha hoi sana,

Nimekufananisha na mtu aliyemuona mwenzake anakojoa barabarani, kisha akamwambia eneo hili haliruhusiwi kujisaidia na alipomaliza kumwelekeza mwenzake na yeye akachojoa nguo zake akaanza kumwaga haja kubwa...

Double standards or??

Nlikuwa naumonesha tu kuwa kashafa hazinunuliwi ukiwa na ufundi tu wa kuziunda basi haziishi...
Hii ni sehemu ya kujadili na kutatua matatizo ya nchi si sehemu ya kukashifiana
 
Nadhani watu walikuwa wanasubiri pa kuanzia na sasa wamepapata. Tujiulize hawa wanaofanya fujo wana shughuli rasmi zinazotambulika na jamii au ni vijana wa mtaani wasio na shughuli za kueleweka. Nani anaweza kuacha kazi zake na kujiingiza katika matukio haya. Propaganda za udini, ujinga na ukosefu wa ajira ndio chanzo cha haya yote
 
kisa mtoto kakojolea kuruani au lipo jingine
mimi nahisi lipo jingine walikuwa wanatafuta chanzo tu hawa jamaa. kwani akikojolea hakuna quran ingine? au akikojolea ndio maadnishi yatapotea? najaribu kutafakari ingekuwa mkristo sidhani kama hata angechukulia hivo zaidi ya kumuombea na kutangaza msamaha hapo hapo! hawa wenzetu kweli wanafundishwaga amani na upendo msikitini kama tunavyofundishwa sisi makanisani? NO! BIG NO! I DOUBT!!!
 
Na kuikojolea si kijana wa Kiislamu alimtia majaribuni mtoto kuwa atakuwa mjusi? Na usikute katumwa, maana wamechoma makanisa huko ZNZ wakidhani kuna mkristo atagusa hata ukuta wa msikit wapate sababu wakakosa, sasa wanamjaribu mtoto ili kuhalisha fujo bado Christians wamewadharau, yaani kama kuku anataka kutaga lakini wamekutana na watu waliofundishwa na THE GREAT TEACHER , JESUS.
mimi nahisi lipo jingine walikuwa wanatafuta chanzo tu hawa jamaa. kwani akikojolea hakuna quran ingine? au akikojolea ndio maadnishi yatapotea? najaribu kutafakari ingekuwa mkristo sidhani kama hata angechukulia hivo zaidi ya kumuombea na kutangaza msamaha hapo hapo! hawa wenzetu kweli wanafundishwaga amani na upendo msikitini kama tunavyofundishwa sisi makanisani? NO! BIG NO! I DOUBT!!!
 
kisa mtoto kakojolea kuruani au lipo jingine

bora wewe umeuliza maana wengine wana comment tu hawajui sababu nini,issue ya huyo imeshaisha sasa hv ugomvi ni waislam na bakwata coz bakwata wameuza kiwanja cha waislam kwa faida yao binafsi kwahyo wanataka mali zao zirudi.
 
هؤلاء الناس ليسوا من الأشياء الجيدة لذلك ينبغي التنزانيين زملائي مغادرة البلاد فورا!

Nimepakojolea hapo!
 
Back
Top Bottom