Kingunge, kweli ubaya hauna kwao...

Kingunge, kweli ubaya hauna kwao...

Umeongea kitu cha msingi sana mkuu The Boss. Huwezi kuona umuhimu wa tume huru mpaka uwe mtanzania mzalendo au uwe mpinzani wa CCM. Sasa hapa kuna mawili Kingunge ameongea kama mpinzani wa ccm au ameongea kama mtanzania mzalendo?. Kingunge aliikataa rasimu ya katiba ya Warioba yenye tume huru kwakuwa alikuwa akilinda maslahi binafsi zaidi kuliko maslahi mapana ya Tanzania, Kingunge hakujua kesho yake nini kitatokea na wapi atakuwa. Kikubwa ambacho tunapaswa kujifunza kutoka kwa Kingunge ni kwamba tunapaswa kusimamia ukweli bila kujali wapi tulipo na bila kuangalia maslahi yetu binafsi yataathirika vipi. God Bless Tanzania.

Siku zote tunapaswa kuweka Taifa mbele kuliko vyama na sisi binafsi
 
Ile katiba iliyosiginwa ipo wapi?
Muulize Lowassa, Kingunge And Co. Walikula Mabilioni Ya Bunge La Katiba Na Wakaipigia Kura Ya Ndio Kwa Ibara Zote - Ni Zuzu Tu Atawasikiliza Walivyojaa Unafiki Mpaka Unyayoni
 
Muulize Lowassa, Kingunge And Co. Walikula Mabilioni Ya Bunge La Katiba Na Wakaipigia Kura Ya Ndio Kwa Ibara Zote - Ni Zuzu Tu Atawasikiliza Walivyojaa Unafiki Mpaka Unyayoni
Tufanyeje sasa !!?? kama hata suluhisho mnatafutia sababu za zamani !
 
Tufanyeje sasa !!?? kama hata suluhisho mnatafutia sababu za zamani !
Tum support yule ambaye amethubutu kuleta mabadiliko ya kweli....Hao wengine ni zilipendwa....yaani sizitaki mbichi hizi!
 
Yaani huyu Mzee alitaka tukakabidhi Nchi yetu kwa Rostam Azizi kweli?
Halafu alivyo mnafiki mpaka leo hii bado anavaa Suti za Kisoshalisti!

MG_6474.jpg

12118762_10153640734029339_1305342760070412884_n.jpg
 
bora tungempa hata fisadi kuliko hali ya uchumi ilivyo kwasasa. watu wanajuta lakini wanaogopa kusema. haya mambo ya kuugulia moyoni 2020 yanaweza kufanya maajabu kama ilivyotokea kwa Trump.
 
bora tungempa hata fisadi kuliko hali ya uchumi ilivyo kwasasa. watu wanajuta lakini wanaogopa kusema. haya mambo ya kuugulia moyoni 2020 yanaweza kufanya maajabu kama ilivyotokea kwa Trump.

Hayo maajabu tumeanza kuyasikia tangu 1995, kinachobadilika ni tarakimu tu!
 
Yaani huyu Mzee alitaka tukakabidhi Nchi yetu kwa Rostam Azizi kweli?
Halafu alivyo mnafiki mpaka leo hii bado anavaa Suti za Kisoshalisti!

MG_6474.jpg

12118762_10153640734029339_1305342760070412884_n.jpg
Wewe shetani mbona unamshambulia kila mmoja? Basi wewe utashambuliwa na Mungu!
 
Hayo maajabu tumeanza kuyasikia tangu 1995, kinachobadilika ni tarakimu tu!
Si mnabebwa na vyombo vya dola mlipojaza makada wa chama chenu mnategemea nni?? Siku mkiruhusu uchaguzi kuwa huru na haki ndio tutashuhudia ya gambia na ghana
 
Tunarudi kwenYe siasa za kuchambua watu tena kama CCM tungewaachia hii kazi wapinzan sisi tukaendelea na Ujenz wa Taifa ....
 
Back
Top Bottom