Kingunge, kweli ubaya hauna kwao...

Kingunge, kweli ubaya hauna kwao...

892ec1b7da812d40e9cd826de88455ab.jpg
 
Wewe bila shaka ni house girl wa lumumba!
Wewe shetani mbona unamshambulia kila mmoja? Basi wewe utashambuliwa na Mungu!

Hivi mlitegemea Lumumba waseme nini?

Tunawaona kila siku hapa na kashfa na matusi yao, bado hatujawajua tu?

Ni rahisi kwa aliye Upinzani kumpongeza anayetawala lakini si rahisi kwa Mtawala kumpongeza Mpinzani na ukiona Umeanza kupongezwa basi wewe unakaribia Sebule ya Mtawala.

Barbarosa
Lizaboni
Wakudadavua
Ruttahobolwa
Ufipa-Kinondoni
Faiza Foxy
Motochini
Jingalo and CO

Hawa Post zao sio za kuzishangaa.
 
bora tungempa hata fisadi kuliko hali ya uchumi ilivyo kwasasa. watu wanajuta lakini wanaogopa kusema. haya mambo ya kuugulia moyoni 2020 yanaweza kufanya maajabu kama ilivyotokea kwa Trump.
Kaka umelaanika nini
 
And if possible ignore, do not read them!
 
Hivi mlitegemea Lumumba waseme nini?

Tunawaona kila siku hapa na kashfa na matusi yao, bado hatujawajua tu?

Ni rahisi kwa aliye Upinzani kumpongeza anayetawala lakini si rahisi kwa Mtawala kumpongeza Mpinzani na ukiona Umeanza kupongezwa basi wewe unakaribia Sebule ya Mtawala.

Barbarosa
Lizaboni
Wakudadavua
Ruttahobolwa
Ufipa-Kinondoni
Faiza Foxy
Motochini
Jingalo and CO

Hawa Post zao sio za kuzishangaa.
Ni za Sifa Kwa Uongozi wa chama chao cha ccm
na Kuponda Vyama vya Upinzani.
Hiyo ndiyo sifa ya Watu Hao.
 
Huyu babu hana chakupoteza keshakula kavimbiwa alitaka nchi yetu iteketee..ukimwona kama ana busara kumbe kichwa kimejaa uji na ugoro,alitaka apewe wizara ya waganga,wachawi na misukule hovyo sana huyu
 
Unapomuona kijana/mtu wa ukawa anamtetea kingunge na hapohapo kijana/mtu huyo akitarajia kwenda Ikulu kwa katiba iliyopo, itabidi ucheke kwa huruma kuu.
 
bora tungempa hata fisadi kuliko hali ya uchumi ilivyo kwasasa. watu wanajuta lakini wanaogopa kusema. haya mambo ya kuugulia moyoni 2020 yanaweza kufanya maajabu kama ilivyotokea kwa Trump.
Kwa Lowassa hapana! Bora hata Anna Mgwira! Lowassa awe Rais!! Loh hapana kabisa!
 
Back
Top Bottom