Kingunge, kweli ubaya hauna kwao...

Kingunge, kweli ubaya hauna kwao...

..Na huyo mwenyekiti wa tume ya uchaguzi,ajiangalie,asije kulia na yeye wakati ukifika,
 
Kingunge anazeeka vibaya.Ni kama ana wa enjoy chadema.
Wote wanafiki chadema na Kingunge tu.
Wee. Nyoko uwezi kumwita mzazi wa watu hivi hivo wewe na kingunge nani kajitolea hapa tz kumbuka yy amekataa dini sababu ya chama Na wananchi wew nani
 
Nimesoma jinsi Kingunge alivyozungumzia umuhimu wa
'tume huru ya uchaguzi'...

nimejikuta nakumbuka huu msemo maarufu 'ubaya hauna kwao'

Kwamba jambo likiwa baya ni baya tu....kokote kule likienda litachukiwa
na ukinyamaza wakati mtu mwingine anafanyiwa ubaya basi
usishangae ubaya huo ukaja kufanyiwa wewe au ndugu yako na wewe
ukaumia na kulia kama hao wengine..

Wizi wa kura ni jambo baya saana....ni kudhulumu haki za watu

Kingunge sasa anaongea kwa uchungu sana.....

natamani kumuuliza....why now?

Lini tuliwahi kuwa na tume huru ya uchaguzi? ...

Wazee walisema 'ubaya hauna kwao'......laiti kama

Kingunge,Lowassa Sumaye na wengine wote wange simama kuhesabiwa
kwenye mstari wa haki maisha yao yote...na kupigania 'tume huru' kabla hata
hawajatoka CCM leo tungekuwa mbaali saana....

Na wale wana CCM ambao leo watakejeli kauli ya Kingunge....wajifunze hili
'ubaya hauna kwao'
U are genius,upo so deep kalamu umeitendea haki vile haswa ipasavyo ktk hii post yako nakupa zinga la Big up
 
Kuna jambo moja mnashindwa kulielewa, nalo ni kwamba hakuna kitu kama hiyo mnayoiita Tume huru Dunia hii, ila kilichopo ni Mshindi na aliyekataliwa na Watanzania, kama Watanzania wakiamua kuiingiza chadema madarakani watafanya hivyo kama bado hawajaamua kama ilivyo sasa na itabakia kuwa hivyo na huo ndio Ukweli pekee Dunia hii, kama vile kifo!
Kidogo nimebaki ninajiuliza uwezo wako wa kufikiri na kuchanganua mambo!
 
Wee. Nyoko uwezi kumwita mzazi wa watu hivi hivo wewe na kingunge nani kajitolea hapa tz kumbuka yy amekataa dini sababu ya chama Na wananchi wew nani
Povu!suala la kukataa dini ni la kwake haliuhusiani na CCM.Hao kina kingunge ndio wametufikisha hapa,hiyo katiba anayoipigia debe mwaka mmoja uliopita alikuwa anasema hakuna haja ya katiba mpya,ni kuweka tu viraka!Huo ndio undumilakuwili wa Kingunge.Akalee wajukuu kwa heshima.Fanyeni kazi katiba sio kipaumbele kwa sasa
 
Nimesoma jinsi Kingunge alivyozungumzia umuhimu wa
'tume huru ya uchaguzi'...

nimejikuta nakumbuka huu msemo maarufu 'ubaya hauna kwao'

Kwamba jambo likiwa baya ni baya tu....kokote kule likienda litachukiwa
na ukinyamaza wakati mtu mwingine anafanyiwa ubaya basi
usishangae ubaya huo ukaja kufanyiwa wewe au ndugu yako na wewe
ukaumia na kulia kama hao wengine..

Wizi wa kura ni jambo baya saana....ni kudhulumu haki za watu

Kingunge sasa anaongea kwa uchungu sana.....

natamani kumuuliza....why now?

Lini tuliwahi kuwa na tume huru ya uchaguzi? ...

Wazee walisema 'ubaya hauna kwao'......laiti kama

Kingunge,Lowassa Sumaye na wengine wote wange simama kuhesabiwa
kwenye mstari wa haki maisha yao yote...na kupigania 'tume huru' kabla hata
hawajatoka CCM leo tungekuwa mbaali saana....

Na wale wana CCM ambao leo watakejeli kauli ya Kingunge....wajifunze hili
'ubaya hauna kwao'

Thank you the Boss,
Haya maswali ni tafakuri mno. Na hapa ndipo kwenye tofauti kubwa ya kufikiri kati yetu waafrika na jamii za watu weupe. Akili zetu ni fupi mno katika kufikiri. Tukiwa madarakani, akili zetuz inaishia hapohapo madarakani, too static mind! Fikiria jambo moja rahisi sana, masuala ya pensheni. Wakiwa madarakani per diem zinawahadaa na wao ndio wanakuwa vinara wa kuwafanyia usumbufu wazee waliostafu. Then watu haohao wakishatoka madarakani wanakumbana na adha zilezile walizowafanyia waliotangulia. Hiki ni kiwango cha juu kabisa cha akili fupi tulichonacho. Ni zaidi ya akili ya kuku.

Binafsi ningependa Sumaye, Lowassa na Kingunge wangetuambia waziwazi, je katika chaguzi zote ambazo wao walikuwa ccm, wanasemaje juu ya uhalisia wa matokeo ya chaguzi zilizopita zilizotangazwa na Tume ambayo yamewapa wao ushindi katika ngazi mbalimbali katika chaguzi zilizopita?
 
Kuna jambo moja mnashindwa kulielewa, nalo ni kwamba hakuna kitu kama hiyo mnayoiita Tume huru Dunia hii, ila kilichopo ni Mshindi na aliyekataliwa na Watanzania, kama Watanzania wakiamua kuiingiza chadema madarakani watafanya hivyo kama bado hawajaamua kama ilivyo sasa na itabakia kuwa hivyo na huo ndio Ukweli pekee Dunia hii, kama vile kifo!
Wewe mtu ni mjinga sana. Tena ni hatari katika ustawi wa dunia hii. Maalim Seif alikataliwa na wazanzibari kule visiwani? Kwanini siku zote unakuwa na hoja za kipuuzi hali yakuwa ni mtu mzima?
 
Kuna jambo moja mnashindwa kulielewa, nalo ni kwamba hakuna kitu kama hiyo mnayoiita Tume huru Dunia hii, ila kilichopo ni Mshindi na aliyekataliwa na Watanzania, kama Watanzania wakiamua kuiingiza chadema madarakani watafanya hivyo kama bado hawajaamua kama ilivyo sasa na itabakia kuwa hivyo na huo ndio Ukweli pekee Dunia hii, kama vile kifo!
Mambo ya kuquote uzi mzima uache bana.unazingua ww
 
Unadhani hata katiba ikibadilishwa watu wataifuata na italeta maendeleo? Bora tungeomba kwanza tutawaliwe tena na wakoloni kwanza hasa mjerumani.

Kwa ufupi tu sisi ni watu wa ajabu sana siyo kingunge tu.

Ndio maana sifa na thamani ya PhD imeshuka sana mwaka huu!
hivi we jamaa una manisha unachokisema kweli?una uhakika kuwa kutawaliwa tena kuna tija kuliko sie kujitawala wenyewe?
 
Kila kitu kina majira yake..kuna wakati kujenga , kuna wakati wakubomoa kuna wakati wakujenga..kuna wakati wa kukubali kuna wakati wakukataa..ukijua ni nini maana ya majira ya mwanadamu..haitakupa shida..ndio maana hata kwa Mungu tunaamini kunamsamaha..nani angebaki
Hawa watu pande zote hawafai tu, labda tusubiri damu changa kabisa ambayo haijawahi shiriki dhambi hii.

Na kama unaona msamaha ndo kila kitu basi hata waliopo leo acha watukandamize mwishoni tutawasamehe.

Imani yangu, nangonjea kizazi kipya kutatua changamoto tulizonazo, sio mizee hii inayotuigizia kwa pande zote mbili.
 
Kuna jambo moja mnashindwa kulielewa, nalo ni kwamba hakuna kitu kama hiyo mnayoiita Tume huru Dunia hii, ila kilichopo ni Mshindi na aliyekataliwa na Watanzania, kama Watanzania wakiamua kuiingiza chadema madarakani watafanya hivyo kama bado hawajaamua kama ilivyo sasa na itabakia kuwa hivyo na huo ndio Ukweli pekee Dunia hii, kama vile kifo!
Ni kweli tatizo hawa jamaa wanajifariji sana, matarajio yasipotimia unakubali matokeo, sasa umeibiwaje wakati uliahidi utazilinda?
 
Ni unafiki tu kwa nini hawakusema walipokuwa ccm aaghhaar mi nimechoka na hii misiasa
 
Utawala tu Wa hapa mnalia je Wa mkoloni si ndo mtasaga meno,! Tumieni bongo zenu vizuri na si kuongea tu
 
Thank you the Boss,
Haya maswali ni tafakuri mno. Na hapa ndipo kwenye tofauti kubwa ya kufikiri kati yetu waafrika na jamii za watu weupe. Akili zetu ni fupi mno katika kufikiri. Tukiwa madarakani, akili zetuz inaishia hapohapo madarakani, too static mind! Fikiria jambo moja rahisi sana, masuala ya pensheni. Wakiwa madarakani per diem zinawahadaa na wao ndio wanakuwa vinara wa kuwafanyia usumbufu wazee waliostafu. Then watu haohao wakishatoka madarakani wanakumbana na adha zilezile walizowafanyia waliotangulia. Hiki ni kiwango cha juu kabisa cha akili fupi tulichonacho. Ni zaidi ya akili ya kuku.

Binafsi ningependa Sumaye, Lowassa na Kingunge wangetuambia waziwazi, je katika chaguzi zote ambazo wao walikuwa ccm, wanasemaje juu ya uhalisia wa matokeo ya chaguzi zilizopita zilizotangazwa na Tume ambayo yamewapa wao ushindi katika ngazi mbalimbali katika chaguzi zilizopita?
Tukiweka mihemuko ya vyama pembeni namna hii iko siku tutakuja na suluhisho la uozo wa taifa hili.

Binafsi sipendi kuegemea vyama coz nikichek waasisi wa haya tunayojutia leo wako pande zote mbili.

Ninacho kiamini na ninachokisubiria ni jibu sahihi kutoka nje ya hao wanyang'anyi wa pande zote mbili. Ova.
 
Back
Top Bottom