The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,654
Nimesoma jinsi Kingunge alivyozungumzia umuhimu wa
'tume huru ya uchaguzi'...
nimejikuta nakumbuka huu msemo maarufu 'ubaya hauna kwao'
Kwamba jambo likiwa baya ni baya tu....kokote kule likienda litachukiwa
na ukinyamaza wakati mtu mwingine anafanyiwa ubaya basi
usishangae ubaya huo ukaja kufanyiwa wewe au ndugu yako na wewe
ukaumia na kulia kama hao wengine..
Wizi wa kura ni jambo baya saana....ni kudhulumu haki za watu
Kingunge sasa anaongea kwa uchungu sana.....
natamani kumuuliza....why now?
Lini tuliwahi kuwa na tume huru ya uchaguzi? ...
Wazee walisema 'ubaya hauna kwao'......laiti kama
Kingunge,Lowassa Sumaye na wengine wote wange simama kuhesabiwa
kwenye mstari wa haki maisha yao yote...na kupigania 'tume huru' kabla hata
hawajatoka CCM leo tungekuwa mbaali saana....
Na wale wana CCM ambao leo watakejeli kauli ya Kingunge....wajifunze hili
'ubaya hauna kwao'