Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
Mkuu kwani chadema pekee ndo inafaa kuingia ikulu? na sio chama chochote cha upinzani?Kuna jambo moja mnashindwa kulielewa, nalo ni kwamba hakuna kitu kama hiyo mnayoiita Tume huru Dunia hii, ila kilichopo ni Mshindi na aliyekataliwa na Watanzania, kama Watanzania wakiamua kuiingiza chadema madarakani watafanya hivyo kama bado hawajaamua kama ilivyo sasa na itabakia kuwa hivyo na huo ndio Ukweli pekee Dunia hii, kama vile kifo!