Kingunge: Hatutokubali Lowassa akatwe jina

Kingunge: Hatutokubali Lowassa akatwe jina

Ni nini kimsababishie akatwe? Kukubalika kwa wananchi ndio ishu kubwa, tumeona tayari anakubalika. Kama angekuwa na matatizo na chama mbona bado ni mwanachama?

Qualifications zilitajwa; jumla ziko 13. Kukubalika na wananchi (ikiwa ni kweli kuwa hii inaweza kupimwa kwa kuangalia wingi wa wadhamini) ni 1/13 katika sifa zote. Sasa huyu akiwa na 5/13 wenye zaidi ya hapo watashinda na atakuwa mtu amekatwa kihalali. Wakati mwingine kutumia nguvu nyingi kunaonesha motive mbaya!
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Ni nini kimsababishie akatwe? Kukubalika kwa wananchi ndio ishu kubwa, tumeona tayari anakubalika. Kama angekuwa na matatizo na chama mbona bado ni mwanachama?

Vikao vitaamua. . . . Sio wananchi. . . . .kama hana matatizo na chama hakukuwa na haja ya tamko. . .(kama kweli limetoka)
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Ni kwa sababu ya kukumbatiana mtu tangu.awamu ya kwanza yupo tu kana kwamba yeye asipokuwa kiongozi nchi itasimama, sasa wamejenga hulka mbaya ya kutaka kuamua tena kwa niaba ya wengine. . . . . Kama kasema hayo kweli basi anaonesha ni kwa kiasi gani nchi hii haifuati sheria wala taratibu ila matakwa tu. . . . . . .anatoa ujumbe mzito na mbaya sana

haa haa mkuu kingunge ni kilongola tu aliyejitoa mhanga kumsemea lowasa na wenzake. nyuma yake wako wanaccm wengi waliotekwa na lowsa...
 
  • Thanks
Reactions: DSN
mkuu sina uhakika kama kongunge ni mjumbe wa kamati kuu kamwe. ila ni mzee anayesikilizwa sana na wana ccm wengi.

Sasa hiki alichoongea hakioneshi kuwa anastahili kusikilizwa na wengi na kimsingi huyu anazidi kukigawa hicho chama. Unafikiri sasa watia nia wengine watamuonaje? Bado wataendelea kumsikiliza?
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Qualifications zilitajwa; jumla ziko 13. Kukubalika na wananchi (ikiwa ni kweli kuwa hii inaweza kupimwa kwa kuangalia wingi wa wadhamini) ni 1/13 katika sifa zote. Sasa huyu akiwa na 5/13 wenye zaidi ya hapo watashinda na atakuwa mtu amekatwa kihalali. Wakati mwingine kutumia nguvu nyingi kunaonesha motive mbaya!

mkuu lowsa kukatwa ndani ya ccm kunahitaji nguvu ya ziada. mpaka sasa sijaiona nguvu hiyo...
 
Hawatakubali yeye na nani? Hajui enzi zake zimeisha? Huyu Mzee sasa hivi hajitambui na hafuati tena misingi aliyoamini.

ni aibu na fedheha kubwa sana kwa mtu mzima kukubali kununuliwa na kutumika kwa maslahi ya mtu ambaye hata wewe unajua si muadilifu per se.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
OLESAIDIMU naomba nielewe hatuhitaji kura za ndiyooo! , wandiyo ndio wameshinda,kura hizo HAZITUFAI KAMWE!!!
TUNATAKA ""VOTING SYSTEM"" INAYOJULIKANA KIMATAIFA
KURA ZA HAKI ZIMEKUWA ZINALETA PICHA NZURI SANA HASA KWA WASHINDANISHWA.
 
Last edited by a moderator:
Kada maarufu wa CCM,mzee Kingunge, amesema hawatakubali kuona jina la Lowassa linakatwa.

Chanzo: Nipashe

Kingunge, you are very stupid , very stupid of the highest degree! Kila mgombea/mtia nia watu wake wakisema kuwa hatukubali mtu wetu akatwe mustakabali wa nchi hii utakuwaje! You are stupid again!
 
Sasa hiki alichoongea hakioneshi kuwa anastahili kusikilizwa na wengi na kimsingi huyu anazidi kukigawa hicho chama. Unafikiri sasa watia nia wengine watamuonaje? Bado wataendelea kumsikiliza?

mkuu umewahi sikia viongozi wa ccm wakimkemea kingunge? kingunge kwake mgombea wa ccm ni lowasa wengine hao kwake si lolote wala chochote.
 
Tulipofikia kuna watu wanajiona kama wao wana hati miliki ya "Nnji" hii!! Huyu si ni mjumbe wa kamati kuu? Nitashangaa kama watia nia wengine wataacha huyu aingie kwanye kamati kuu kuwajadiri. Hawa wanamfanya mwenyekiti wa sasa ashindwe kukiongoza chama - yaani chama sasa hakiongozeki!! When the center cannot hold, things fall apart.

CCM mufilis

Mwenyekiti mwenyewe alishachemka kitambo tuu. Anajisemesha hana mgombea wakati siku ya sheria duniani alikua anajisemesha kwamba anatamani rais kipindi hiki atoe ndani ya muhimili wa mahakama. Halafu aseme hana mgombea!!! Wagombea wamkatae hata Mwenyekiti mwenyewe kuongoza vikao.
 
Akacheze na vitukuu vyake huko!!
Anaanza kuwa "dogo" tena, anaongea pumba sana!
Sikapendi sana haka kababu siku hizi, kwanza kalianza kuniboa kwenye bunge maalum la katiba na bado kanaendelea kuniboa kila kanapofungua mdomo! Si kakae kimya tuu!!! aaarrggghhhhh!!!

wewe hujui kama mzee mzima wa umri wake akiwa anakaa kimya mdomo unanuka kupita kiasi? huko kupenda kuzungumza kwake yawezekana ikawa ni mbinu moja wapo ya kuondoa kwake harufu mbaya kinywani itokanayo na umri wake mkubwa. hakukeri wewe tu nadhani anawakera wazalendo wengi tu na watu wenye maadili meme kwa nchi hii.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Tangu lini ccm wameanza kuheshimu haki?
Dhambi ya kufitini haki za wapinzani imewarudia mmeanza kufanyiana fitina wenyewe kwa wenyewe.
 
Mwenyekiti mwenyewe alishachemka kitambo tuu. Anajisemesha hana mgombea wakati siku ya sheria duniani alikua anajisemesha kwamba anatamani rais kipindi hiki atoe ndani ya muhimili wa mahakama. Halafu aseme hana mgombea!!! Wagombea wamkatae hata Mwenyekiti mwenyewe kuongoza vikao.

mkuu tatizo ndani ya ccm wote ni wanafiki. sio viongozi wala wanachama. ndani ya ccm mtu huheshimiwa kutokana na ukubwa wa noti na mtandao wake na si vinginevyo....
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Mkuu kwa wimbi lililopo vp baada ya kuwaengua hao..akabaki yule mzee wa koti unazani ccm itapita?
 
Back
Top Bottom