Hayo ndiyo aliotumwa na waganga wenzake? Atetee mabango ya wachawi yasitolewe mitaani! Hovyo kabisa.
mi namshauri apiganie uganga wa kienyeji uingizwe ktk Katiba!
Si wana-UKAWA mnadai kuwa mambo ya kiuchumi ni ya "nchi washirika?"For the first time Kingunge apendekeza jambo zito kwenye katiba... Yaani kuwe ibara inayozungumzia mwelekeo wa TAIFA kiuchumi...
Mzee Kingunge this is what I was missing for so long ... Thank you
nazani kuna haja na sisi hio paper ya kingunge tuipate ili tuangalie madini yaliokuwamo.
numefatilia speech yake kaadress vizuri hakuna lolote tunaloweza kulifanya bila kuwa na mikakati ya kiuchumi.
ila jee linawekwaje hilo kikatiba nazani tukiipata hio paper na kuifungulia mjadala wake mahsusi iasaidia kutoa mchango muhimu kwa taifa letu