Kingunge awa kinara kwenye Katiba

Kutokana na hoja yako, kweli wewe ni sawa na na jina lakop ia na picha ya avator yako!
 
Kazi kweli kweli hapo...anapendekeza kwenye katiba ipi? mbona hamtaki kuelewa kuwa katiba mpya ni hadi miaka mingi kadhaa huko ijayo?
 
Huyo mdudu kwenye avatar yako kikwetu anaitwa kisafuru. Hoja yako inasadifu kisafuru kwa karibu sana.
 
Hayo ndiyo aliotumwa na waganga wenzake? Atetee mabango ya wachawi yasitolewe mitaani! Hovyo kabisa.
 
kweli ipo haja ya kuwa na dira ya uchumi, kwa sasa dira yetu ni uchumi wa kijamaa, je bado inafanyakazi au imebaki kwenye makabrasha?
 
Wazee hawa ndio wametufikisha hapa!! Walikuwa wapi siku zote kuwapa katiba mpya watanzania?? Mzee kinara kweye hili ni Warioba tuu.
 
For the first time Kingunge apendekeza jambo zito kwenye katiba... Yaani kuwe ibara inayozungumzia mwelekeo wa TAIFA kiuchumi...

Mzee Kingunge this is what I was missing for so long ... Thank you
Si wana-UKAWA mnadai kuwa mambo ya kiuchumi ni ya "nchi washirika?"
 
Mheshimiwa Kingunge yupo juu! Anamwaga Makavu laivu kuhusu Ma Engineer Wetu kua ni Wakarabati tu! Kila kila kitu kinatengenezwa na watoto wa Wakigeni. Sisi kazi yetu ni Kula Makombo tu!

Kiufupi upeo wake ni Karne moja zaidi ijayo!

Mapinduzi ya Viwanda ndio jambo la umuhimu.

Heil Comrade Kingunge. Umetoa shule tamu sana leo kuhusu uchumi.
 
nazani kuna haja na sisi hio paper ya kingunge tuipate ili tuangalie madini yaliokuwamo.

numefatilia speech yake kaadress vizuri hakuna lolote tunaloweza kulifanya bila kuwa na mikakati ya kiuchumi.

ila jee linawekwaje hilo kikatiba nazani tukiipata hio paper na kuifungulia mjadala wake mahsusi iasaidia kutoa mchango muhimu kwa taifa letu
 
Sio mambo ya kipuuzi ya uchaguzi, uchaguzi, uchaguzi...that none senses.
 
nazani kuna haja na sisi hio paper ya kingunge tuipate ili tuangalie madini yaliokuwamo.

numefatilia speech yake kaadress vizuri hakuna lolote tunaloweza kulifanya bila kuwa na mikakati ya kiuchumi.

ila jee linawekwaje hilo kikatiba nazani tukiipata hio paper na kuifungulia mjadala wake mahsusi iasaidia kutoa mchango muhimu kwa taifa letu

Mkuu haya aliyoyatoa Mzee Kingunge sio mapya, alishayatoa kwenye programu ya chama cha ccm iliyotoka 1987, enzi za chama kimoja, katika kuujenga uchumi wa kijamaa kisayansi kwa kuanzisha mapinduzi ya viwanda,ikijumuisha uwekezaji wa viwanda mama na vya kati. Kuanzisha mashamba makubwa ya kilimo cha kisasa na utumiaji wa zana za kisasa za kilimo na kuondokana na kilimo kidogo kidogo cha kutumia jembe la Adam na Hawa, pamoja na matumizi ya ng'ombe. Kama ile programu ingewekewa maanani na kutekelezwa leo tungekuwa mbali sana kiuchumi. Cha ajabu hakuna ndani ya ccm aliye ijali kabisa na chapisho la programu hiyo nadhani inaoza tu kwenye maktaba za ccm. Hii ni mara ya pili Mzee kingunge ana introduce hiyo sera. Hope fully hao wana ccm wenzake wataikubali na kuitekeleza, kama itakuja kuingia kwenye hii katiba ya mzee sita na walio wengi au katiba itakayokuja kupatikan ya wananchi, whichever. Ni vizuri sera hiyo ikaingizwa kwenye katiba iwe dira ya taifa lakini utekelezaji wake unahitaji dedication and commitment to the nation, lakini kama tutaendelea kuwa na aina hii ya viongozi wa leo wachumia tumbo, mafisadi, wanaoendeleza utawala wa ki imla wa kupachika vizazi vyao madarakani sera hii itakuwa ndoto. Neverless kwenye hili bunge maalum la kutunga katiba ya wajumbe walio wengi, Mzee kingunge ingalau kazungumza ya maana.
 
Back
Top Bottom