palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
Kama mzee lazima akemee uhuni wa wachache wanaotaka kukiharibu chama...
yeye ni mmojawapo aliyeharibu chama
Kama mzee lazima akemee uhuni wa wachache wanaotaka kukiharibu chama...
Sawa sawa Mkuu, Duniani kote, dhana ya wengi wape ndio inasimama!Kweli kabisa, lazima wanachama wote wasimame kidete kukemea tabia ya wahuni wachache wanaotaka kukiharibu chama...
Viongozi wachache tuliowapa madaraka wasije wakajisahau na kusababisha chama chetu kushindwa uchaguzi kwa sababu ya chuki zao binafsi, Wananchi na wanachama walio wengi wasikilizwe wanamtaka nani, na sio viongozi ambao ni wachache!

Expire date ya CCM imeshafika tayari.Imebaki octoba kutupwa kwenye dust bin
Hajalipwa hata senti tano, Ila Mzee Kingunge anasimamia maslahi ya CCM.
Umeshaanza kuona chama kinaanguka ehh?
Mtatoka mwaka huu kweli?
Hajalipwa hata senti tano, Ila Mzee Kingunge anasimamia maslahi ya CCM.
Hivi vyombo vya habari vinaanzaje kumpa airtime kwenye vyombo?
Mzee mwenyewe hata kuona haoni vizuri amefikaje huko?
aka kazee kanatia aibu bure.
Ukweli CCM migogoro na hawa wazee wenu inawangusha penda msipende hizo ni dalili ya CCM kufell mwaka huu
huyo atakuwa mungu wa namna gani,ambariki kikwete kwa lipi kwa haya yote aliyo tutendea.
Viongozi wachache tuliowapa madaraka wasije wakajisahau na kusababisha chama chetu kushindwa uchaguzi kwa sababu ya chuki zao binafsi, Wananchi na wanachama walio wengi wasikilizwe wanamtaka nani, na sio viongozi ambao ni wachache!
Pole sana Nape Nnauye naona nyota yako inazidi kufifia, mara nyingi kumekua na taarifa za wewe kushushwa jukwaani na Kinana kutokana na kauli zako, juzi kati hapa ukaja na goli la kidole mara na mkono na sasa umekuja na jipya!
Mzee Kingunge amejitokeza hadharani na kuonya kuwa kauli zako zinakizika chama chako na mimi nasema mfe tu maana tumechoka! Kingunge amethibitisha kuwa huko ndani ya CCM kuna fukuto kubwa na wala sio Demokrasia tena bali ni Domg ghasia ndio iliyojaa huko CCM.
Pumzikeni kwa amani
Mganga wa kienyeji ana ganga...