CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,255
- 12,872
uozo mtupuStar times.
uozo mtupu
Hahahah mye ntakuwa natazama siriz tu....
Mimi Nina dish kubwa wakuu... itakuwaje? Au linatisha?
at some you will need to watch local channels, unless una what so called TV ya ASILI
Hahahah geto kwenyewe narudi kulala 2 sa ninunue king'amuz cha nn?
mbona sielewi,ina maana kuanzia january ukinunua ka tv kako hutoweza kuona tbc,itv etc mpaka ujiunge na kina zuku?mbona mambo ya ajabu haya? Terrestial tv zipo kote duniani hazihitaji king'amuzi jamani,kunani,au ni dili za watu?
hahaha ikiwa warudi muda huo mbona unaweza kuangalia Series why not TV programs?
am telling you utahitaji tu dear...
Hizo tv programz za kibongo nyingi hazina mvuto, bunge ntaangalia kwenye viti virefu hahahahah
sijakupata vizuri mkuu,una maana ili utumie digital ni lazima utumie king'amuzi,kwani TV za kisasa hazina in built system mahsusi kukamata terrestial signal kama Itv/channel ten etc? Samahani kwa usumbufu nataka tu kujua.ITU regulation, by 2015 all countries should shift to Digital broadcasting tech...
Hakuna usanii kaka...
1.Startimes
Bei rahisi na kina local stations nyingi, mawimbi yake hupatikana kwa urahisi. Sina uhakika sana na waliopo nje ya Dar kutokana na aina ya teknolojia itumikayo kurusha matangazo.
2.Zuku
Hii ni tofauti kidogo na ving'amuzi vingine kwani aina ya urushaji matangazo hutumia satelaiti. Wana packages nzuri ila gharama yao kidogo ipo juu kwa Mtanzania wa maisha ya kawaida.
3. EasyTV
Bei zao hazipishani sana na Startimes. Wana packages zilizopangiliwa vizuri kwani wana karibia kila station ya nyumbani. Kama ni mpenzi wa filamu walau hawa wandugu wanajitahidi.
4. Ting
King'amuzi chao ni gharama sana(bei ni zaidi ya mara mbili) ukilinganisha na Startimes, mpaka sasa bado idadi ya local stations ni chache. Kama ni mpenzi wa mpira hawa wandugu wanajitahidi ukilinganisha na ving'amuzi vingine.
NB; Hadi sasa serikali kupitia TCRA wameingia mkataba na makampuni 3 tu na ndio yenye vibali kama wabia. Nayo ni Agape(Ting), Starmedia(Startimes) na Sahara Media(ITV & StarTv).Hii ya mwisho sina uhakika sana maana habari zao bado hazijawa wazi.