Kwa hili la ving'amuzi Tanzania nimeshindwa kung'amua

Jolebatawi

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
549
230
Tumeanza kuingia kwenye digitali rasmi huku MOAT na TCRA wakiwa bado wanavutana kuufikia mfumo wa digitali.
Lakini swali langu ni kipi king'amuzi bora kisicho na matata hapa tanzania,nimefuatilia mijadala humu JF wakiviponda sana hivi vya startimes huku watu wakivisifia sana vya digitek,lakini hivi majuzi watu wameanza kuviponda hata hivyo navyo.
Sasa wadau nisaidieni kuhusu king'amuzi bora ili ninunue niondokane na adha ya kutopata habari za television na kuepuka hasara ya kununua king'amuzi feki.
Pia nilikuwa nauliza vipi kuhusu dish set za zuku ni digital?zinafaa?gharama yake ni bei gani?na gharama za uendeshaji wake kwa mwezi ni kiasi gani?au zenyewe siyo kama dstv.
NIKISAIDIWA KWA KUELIMISHWA NITASHUKURU SANA.-
 
Nami nipo darasan nasubiri KUELIMISHWA
Poa mkuu ngojea tuwasubirie wadau waje kutuelewesha,,haya mambo ya kitz ni full vioja,,mitambo ya digital inazimwa ndio ving'amuzi vinaanza kutafutwa vije nchini badala ya ving'amuzi kusambaza angalau mwaka mmoja kabla ya kuzimwa kwa analogia
 
Back
Top Bottom