kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Nataka kuachana na cable hawa jamaa hapa Kahama(SSCN) wanaboa sana maana wanakata sana picha hata sioni maana tena ya kulipia elfu 10 kila mwezi.Napenda kufuatilia michezo hiyo ya mieleka.Tafadhali ni king,amuzi gani kinaonesha?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums