JosphatiG
Member
- Apr 1, 2014
- 43
- 7
MBC action na ETV kipindi cha WWE huwa vinaonyeshwa saangapi? Naomba unipatie mda kwasababu Azam hawaonyeshi ratibaPAta AzamTv, itakuwa nido suluhisho kwako kaka. MBC Action, wao wana Mieleka Daily kasoro J'Mosi na J2. Pia utapata ETV ya sauzi nao wanaonyesha Mieleka pia. Kuna channel nne zinazorusha Mieleka. Utafurahia. Ukiwa huko Mwanza unaweza ukaipata kwa Bei ya 160,000 full set ya king'amuzi. Utaipenda.