Wadau hawa jamaa wa Zuku wametoka hapa kwangu sasa hivi kujipigia debe ili ninunue king'amuzi chao,sasa kwa anaejua tafadhali anijuze vipi kuhusu ubora wa matangazo yao na uzuri wa channel zao,naombeni mniwahi jamani kabla jamaa hawajanilia hela zangu maana tumekubaliana waje tena Ijumaa.
POINT OF CORRECTION
Zuku si king'amuzi..Kuna ving'amuzi vya aina tatu tu
1.Digitek
2.Startimes
3.ATN
Zuku ni sawa na Dstv, Eazy Tv etc
Aisee !! Hii ni mpya kwangu. Mbaya zaidi imetolewa na Verified User !
..Kuna ving'amuzi vya aina tatu tu
POINT OF CORRECTION
Zuku si king'amuzi..Kuna ving'amuzi vya aina tatu tu
1.Digitek
2.Startimes
3.ATN
Zuku ni sawa na Dstv, Eazy Tv etc
Ni service provider wa pay TV kama ilivyo kwa Easy TV, Ting, Dstv, CTV ama Startimez. Ushaelewa?Hold on,em tueleze zuku ni nini kama si king'amuzi??
Ni service provider wa pay TV kama ilivyo kwa Easy TV, Ting, Dstv, CTV ama Startimez. Ushaelewa?
Hold on,em tueleze zuku ni nini kama si king'amuzi??
Shillingi ngapi wamekuambia..! Kiukweli kiko poa sana aisee na wana station zao kama dstv na local ipo tbc tu...
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mkuu huyu jamaa kaniambia wana chanells 5 zinaonyesha premier ligue live ndio ikanifanya nikubali aje hiyo ijumaa,is there any truth?Binafsi bado sijaamua kama ninunue king'amuzi gani.Ila kwa waliotumia kuna wanaosema wakati wa mvua kinazingua.Na kuhusu channels inategemeana na wewe uko interested na nini.Kama ni soccermania,hapo sio mahali pako,ila kama ni moviemania kinaweza kukufaa.
Ila nakataa,huwezi kukilinganisha na DSTV kwa namna yoyote.Dstv kwa africa bado sana kupata mpinzani.
@Idimi kamaliza kila kitu..na hata vituo kama Dtv, Clouds Tv, C2C etc..ni public broadcasters tu kuna vituo vi 5 tu kama taifa vimesajiliwa..ITV, EATV..Channel 10. TBC1 NA sTAR tV
Mkuu huyu jamaa kaniambia wana chanells 5 zinaonyesha premier ligue live ndio ikanifanya nikubali aje hiyo ijumaa,is there any truth?
Mkuu kingamuzi maana yake ni decoder(ingawa nasikia tumeambiwa tuite jina gani vile, sijui).Mtoa mada yuko sahihi wewe ndio unaelewa vibaya.Hata mediacom,strong etc vyote ni ving'amuzi.Ungeeleweka kama ugesema kuna kampuni na decoder maana hata ATN decoder yao inaitwa Ting.
POINT OF CORRECTION
Zuku si king'amuzi..Kuna ving'amuzi vya aina tatu tu
1.Digitek
2.Startimes
3.ATN
Zuku ni sawa na Dstv, Eazy Tv etc
Msaada tafadhali! Sifa za king'amuzi ni zipi mpaka ukasema ving'amuzi ni aina tatu tu ulivyovitaja!
Mkuu kingamuzi maana yake ni decoder(ingawa nasikia tumeambiwa tuite jina gani vile, sijui).Mtoa mada yuko sahihi wewe ndio unaelewa vibaya.Hata mediacom,strong etc vyote ni ving'amuzi.Ungeeleweka kama ugesema kuna kampuni na decoder maana hata ATN decoder yao inaitwa Ting.