AZAM TV kama sio ligi ya NBC basi kingekuwa king'amuzi cha ovyo hakuna mfano

MtuHabari

JF-Expert Member
Oct 16, 2020
321
1,019
Kwa kweli hiki king'amuzi cha AzamTv ni moja ya kitu cha hovyo na hakina wabunifu labda katika ligi hii ya ndani ya NBC Premier league ndio sehemu pekee ambako wako vizuri.

Channels za burudani kama filamu hawako vizuri na up-to-date, channels zao ukiacha za sports haziko HD hivyo hazina ubora kabisa.

Kiwango cha kawaida cha 23k ukionacho kisha ukalinganisha na wengine mfano wale wa South utajilaumu kuona unaibiwa.

AZAMTV mnapaswa kujua matangazo ya TV sio ligi kuu ya TZ pekee, kuna watu wanayo mengine wanahitaji na kwa ubora uleule.
 
Kwa kweli hiki king'amuzi cha AzamTv ni moja ya kitu cha hovyo na hakina wabunifu labda katika ligi hii ya ndani ya NBC Premier league ndio sehemu pekee ambako wako vizuri.
Channels za burudani kama filamu hawako vizuri na up-to-date, channels zao ukiacha za sports haziko HD hivyo hazina ubora kabisa.
Kiwango cha kawaida cha 23k ukionacho kisha ukalinganisha na wengine mfano wale wa South utajilaumu kuona unaibiwa.
AZAMTV mnapaswa kujua matangazo ya TV sio ligi kuu ya TZ pekee, kuna watu wanayo mengine wanahitaji na kwa ubora uleule
Nyuzi za hivi nimezichoka sasa, Sasa unalipia 23000 unataka uone nini
 
Back
Top Bottom