Kingamuzi cha startimes kimerudisha emmanuel tv ?

pure crazy

Senior Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
190
Reaction score
37
Habar za week za jioni wana jukwaa samahan kama ntakuwa nimeuliza vibaya mimi ni mpenz sana wakuanngalia emmanuel tv scoan ile chanell ya nigeria .

Naomba kuuliza kwenye king'amuzi cha startimes inaonekana au ilisha futwa asante
 
inapatikana ila kwa king'amuzi cha t2.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom