Nauza king'amuzi cha startimes na rimote yake

mandwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
1,502
Reaction score
372
Habari wadau
Watu wanasema kimfaacho mtu chake nipo vibaya kifedha kiasi cha kukosa pesa kabisa nauza king'amuzi changu cha startimes na rimote yake bei 30000 tu pata chanel za bure kama zote
Zaidi 0786430793 nipo chanika
 
Kina matatizo gani?
 
Back
Top Bottom