NALO LITAPITA
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 333
- 90
Wakuu heshima mbele, Jana nikiwa naangalia TV ghafla sauti ilikata ikabaki picha tu. Nikajaribu kuchomoa nyaya na kuzichomekaupya lakini tatizo likaendelea.
Nikajaribu kuazima king'amuzi kwa jirani nikaunganisha na Television yangu ikafanya kazi vema. Nikachukua king'amuzi changu nikaunganisha na tv ya jirani yangu ikaonesha picha tu bila sauti lakini sauti kote kwenye king'amuzi na screen vilikua 100%.
Naomba kusaidiwa wakuu tatizo linaweza kuwa nini?