Abnormal
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 625
- 1,489
Asante mkuu ubarikiwe sanaSeparate port angalia mfano wa picha ya ports kwenye tv yenye dvb s2
![]()
Kunakuwa na port ya Antenna na LNB
Asante mkuu ubarikiwe sanaSeparate port angalia mfano wa picha ya ports kwenye tv yenye dvb s2
![]()
Kunakuwa na port ya Antenna na LNB
Hizi TCL mara nyingi zina DVB-T2 ambayo coverage yake haipo Tanzania nzima.Je hii kwa watu wa mikoani kama Lindi huku inafanya kazi ,mahitaji muhimu ya kufanikisha zoezi hili ni yapi manake sina uelewa wowote kuhusu vitu hivi nahitaji mwongozo Nina tumia tcl
Hizi TCL mara nyingi zina DVB-T2 ambayo coverage yake haipo Tanzania nzima.
Kama unahitaji FTA channels ni bora uchukue DVB-T2 & DVB-S2 Combo receiver haizidi laki, utapata FTA channels kwa dishi la 3 feet.
View attachment 1030391
TZS 46,199 32%OFF | KOQIT V7 Iptv Combo Digital Terrestrial Satellite Receiver DVB-S2 DVB-T2 Decoder Vu Biss Cline Newcam Youtube + 1pcs USB Wifi
US $19.72 32% OFF|KOQIT V7 Iptv Combo Digital Terrestrial Satellite Receiver DVB S2 DVB T2 Decoder Vu Biss Cline Newcam Youtube + 1pcs USB Wifi-in Satellite TV Receiver from Consumer Electronics on Aliexpress.com | Alibaba Group ndo iki mkuu au kipi hapo!
Napata channel zipi na zipi mkuu na installation yake haisumbui pia je hii na startimes ya dish bora ipi?.Ndio
Napata channel zipi na zipi mkuu na installation yake haisumbui pia je hii na startimes ya dish bora ipi?.
Unaweza kupitia hapa kwa kujifuza zaidiNapata channel zipi na zipi mkuu na installation yake haisumbui pia je hii na startimes ya dish bora ipi?.
Hyo kitu nimeona kwenye Tv za LG na si lazima iwe smart hata LG zakawaoda pekee na inadaka channel za mwelekeo wa continento au Ting' au ukitumia decoder za zuku ya zamani au homtech zenyeuwezo wa kudaka free to air napia huenda hizolocal channel zisiwe za kudumu maana hao ting na continento wameziacha free kwa mda tu ( matatzo ya kiufundi) kwahyo uctegemee ukaichukua hyo tv na upate local channels kwa miaka yote maana nahayo makampuni yanafanya biashara! Kwa uelewa wangu mdogo ndy huo km mwngine anauelewa tofauti na huu! Nawasilisha hoja muheshimiwa mtoa madaWadau mko poa?
Nadhani kwa ambao mmenunua flat tv recently kuna marketing term ambayo wanaitumia wauzaji TV kwamba "Ina king'amuzi ndani" utaona channel zote bure.Nimeleta mada mezani tupeane uzoefu juu ya matumizi ya hiko king'amuzi cha ndani. Navyoelewa hicho king'amuzi ni mbadala wa decoder, ama reciever za ma dish zile tulizozoea kununua separately na dish lake.
Je, ukichomeka dish moja kwa moja kwenye tv yako au antenna kama ya startimes kuna uwezekano ukapata channel za FTA? Hasa hizi za locals? Kuna mtu yeyote ambae amejaribu kufanya hilo ikafaa?
Chief-Mkwawa
Mkuu hiyo kitu mimi ndio natumia, kwa miezi sasa...napata channels 39 za TING.Napata channel zipi na zipi mkuu na installation yake haisumbui pia je hii na startimes ya dish bora ipi?.
Bila receiver yoyotekwa kutumia antena napata itv, capital tv, eatv, channel ten, clouds tv, star tv, tbc, citizen tv, al jazeera, africa swahili tv, nhk japan, e tv, pamoja na ksa sports.
Sent using Jamii Forums mobile app
Za bongo zipi mkuu? Nitafute hii kituMkuu hiyo kitu mimi ndio natumia, kwa miezi sasa...napata channels 39 za TING.
Za Continental zilikata baada ya jamaa kuhama satellite.
SangaweJr
Amos 5 ndio uelekeo upi huo mkuu?Mkuu kama una dish elekeza uelekeo wa Amos 5. Kwa kutumia hiyo built in receiver yako kwenye Tv.
Nina miez kadhaa sasa napata free channels more than 30 nina receiver ya mpeg4 Dvb T2 & S2.
SangaweJr
Naomba msaada wa uelekeo wa dish mkuuHizi TCL mara nyingi zina DVB-T2 ambayo coverage yake haipo Tanzania nzima.
Kama unahitaji FTA channels ni bora uchukue DVB-T2 & DVB-S2 Combo receiver haizidi laki, utapata FTA channels kwa dishi la 3 feet.
View attachment 1030391
Nakipata wapi hiki mkuu?Hizi TCL mara nyingi zina DVB-T2 ambayo coverage yake haipo Tanzania nzima.
Kama unahitaji FTA channels ni bora uchukue DVB-T2 & DVB-S2 Combo receiver haizidi laki, utapata FTA channels kwa dishi la 3 feet.
View attachment 1030391