Hadi sasa ni Startimes, Ting na Zuku ndio wanatoa service ya kurusha matangazo kwa njia ya TERRESTRIAL DIGITAL VIDEO BROADCAST (T-DVB) ambayo ni digital ambayo haitumuu satellite wala madishi(ingawa wanayo pia).
Swala la akina ITV na Star Tv ni la kibiashara zaidi, hawa akina Startimes na Ting na Zuku kazi yao ni kukusanya station mbali mbali za bure na za kulipia na kuziweka kwenye package zao kwaajili ya kuziuza kwa malipo ya mwezi.
Sasa kama akina ITV wakipeleka chaneli zao Startimes au Ting maana yake wao watakuwa wanalipwa sehemu ya mapato,
Wao wanachotaka ni wao pia kutafuta chaneli zingine na wao kuja na kampuni zao ambapo kibiashara inalipa zaidi
Na ndio maana TCRA imesema italazimisha kampuni zote kuhakikisha zinakuwa na chaneli zote local na ziwe free kama ilivyokuwa kwa Startimes na TBC, hata muda wa package yako unapokwisha unaendelea kuiona TBC
Kwa wanaotumia madish wao wataendelea kupeta kama kawaida