Umutimbaru
Member
- Jul 22, 2011
- 91
- 5
KITUO CHA UTANGAZAJI CHA ITV, NI LINI KITAOA KINGAMUZI CHAKE? KWANI WANATANGAZA HATIMA YA ANALOG LAKINI HAWATANGAZI NILINI WATATOA KINGAMUZI CHAO.:focus:
hivi ina maana kila kituo cha tv kitakuwa na king'amuzi chake? yaani star tv awe na chake,itv awe na chake,tbc tayari anacho,atn naye anacho.ina maana ili uweze kupata local tv zote inabidi uwe na ving'amuzi kama kumi hivi!
Yaah,,KULINGANA NA TAARIFA KUTOKA TCRA,ni kwamba wao wametoa vibali kwa makampuni matatu ambayo yatajenga miundo mbinu ya kusambaza DVB-T. Yaani makampuni mengine yenye vituo vya Tv,na Radio watakuwa wanapeleka chnls zao kwa hawa jamaa ili wapate kurusha hewani kwa njia ya Digital.(T-DVB-TERRESTRIAL DIGITAL VIDEO BROADCAST Maana yake ni kwamba sasa tv zote za hapa Nchini zitapaswa kujiunga na ving'amuzi vyote na itakuwa ni bure kabisa. Kwa hyo ukiwa na mojawapo ya ving'amuzi hv utaweza kupata chnl za Tanzania bure,ila sasa ukitaka chnl za ziada za nje ya Tz utapaswa kulipia gharama kulingana na msambazaji wa hzo chnl anavyotaka. Na hapa ndipo unapopaswa kuwa na chaguo la king'muzi kulingana na Package ya tv chnl unazotaka-MOVIES,SPORTS,DOCUMENTARY,MUSIC, FASHION, SERIES, etc. Kwa hyo huna haja ya kujaza Decoder ndani,HATA HIVYO Mbele ya safari itakuja kuruhusu decoder moja kuweza ktmia Kadi zaidi ya moja. Hvyo kuwa kama simu,ukitaka ku2mia Voda unatoa line ya Tigo unaweka Voda,nk. Nadhani nimesaidia kiasi kukutoa wasiwasi.
wenye madishi wataendelea kupeta.Kwa wenye madishi sijui itakuwaje?
KITUO CHA UTANGAZAJI CHA ITV, NI LINI KITAOA KINGAMUZI CHAKE? KWANI WANATANGAZA HATIMA YA ANALOG LAKINI HAWATANGAZI NILINI WATATOA KINGAMUZI CHAO.:focus:
hivi ina maana kila kituo cha tv kitakuwa na king'amuzi chake? yaani star tv awe na chake,itv awe na chake,tbc tayari anacho,atn naye anacho.ina maana ili uweze kupata local tv zote inabidi uwe na ving'amuzi kama kumi hivi!
Kwa wenye madishi sijui itakuwaje?
Yaah,,KULINGANA NA TAARIFA KUTOKA TCRA,ni kwamba wao wametoa vibali kwa makampuni matatu ambayo yatajenga miundo mbinu ya kusambaza DVB-T. Yaani makampuni mengine yenye vituo vya Tv,na Radio watakuwa wanapeleka chnls zao kwa hawa jamaa ili wapate kurusha hewani kwa njia ya Digital.(T-DVB-TERRESTRIAL DIGITAL VIDEO BROADCAST Maana yake ni kwamba sasa tv zote za hapa Nchini zitapaswa kujiunga na ving'amuzi vyote na itakuwa ni bure kabisa. Kwa hyo ukiwa na mojawapo ya ving'amuzi hv utaweza kupata chnl za Tanzania bure,ila sasa ukitaka chnl za ziada za nje ya Tz utapaswa kulipia gharama kulingana na msambazaji wa hzo chnl anavyotaka. Na hapa ndipo unapopaswa kuwa na chaguo la king'muzi kulingana na Package ya tv chnl unazotaka-MOVIES,SPORTS,DOCUMENTARY,MUSIC, FASHION, SERIES, etc. Kwa hyo huna haja ya kujaza Decoder ndani,HATA HIVYO Mbele ya safari itakuja kuruhusu decoder moja kuweza ktmia Kadi zaidi ya moja. Hvyo kuwa kama simu,ukitaka ku2mia Voda unatoa line ya Tigo unaweka Voda,nk. Nadhani nimesaidia kiasi kukutoa wasiwasi.
Yaah,,KULINGANA NA TAARIFA KUTOKA TCRA,ni kwamba wao wametoa vibali kwa makampuni matatu ambayo yatajenga miundo mbinu ya kusambaza DVB-T. Yaani makampuni mengine yenye vituo vya Tv,na Radio watakuwa wanapeleka chnls zao kwa hawa jamaa ili wapate kurusha hewani kwa njia ya Digital.(T-DVB-TERRESTRIAL DIGITAL VIDEO BROADCAST Maana yake ni kwamba sasa tv zote za hapa Nchini zitapaswa kujiunga na ving'amuzi vyote na itakuwa ni bure kabisa. Kwa hyo ukiwa na mojawapo ya ving'amuzi hv utaweza kupata chnl za Tanzania bure,ila sasa ukitaka chnl za ziada za nje ya Tz utapaswa kulipia gharama kulingana na msambazaji wa hzo chnl anavyotaka. Na hapa ndipo unapopaswa kuwa na chaguo la king'muzi kulingana na Package ya tv chnl unazotaka-MOVIES,SPORTS,DOCUMENTARY,MUSIC, FASHION, SERIES, etc. Kwa hyo huna haja ya kujaza Decoder ndani,HATA HIVYO Mbele ya safari itakuja kuruhusu decoder moja kuweza ktmia Kadi zaidi ya moja. Hvyo kuwa kama simu,ukitaka ku2mia Voda unatoa line ya Tigo unaweka Voda,nk. Nadhani nimesaidia kiasi kukutoa wasiwasi.
Haiwezekani decoda moja ikatumika na kadi zaidi ya moja coz hata hayo madishi yana muelekeo tofauti. Kwa mfano Zuku na dstv
Kwa wenye madishi sijui itakuwaje?