new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 815
- 1,713
Habari zenu wadau wa jf hasa jukwaa hili. Jaman nina decoder yangu ya dstv, imekufa baada ya radi kubwa kupiga, imekataa kufanya kazi upande wa HDMI, hvo nkitaka pata picha mpaka nitumie AV, na pia imekata channelz zote.. Msaada plz nin tatzo?