Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,581
- 6,675
ilo la uagent au sio naona halina issue apa.
King'amuzi hiki kinasifa zifuatazo
1)inakupa picha angavu na ubora wa hali ya Juu HD
2) Ina port ya HDMI
3) Iko kwenye mfumo wa kisasa zaidi wa MPEG4
4) Kinatumia flash
5) Ina uwezo wa kurekodi, kusimamisha na kuendelea na matangazo ya moja kwa moja PVR
6) Nirahisi kuunganisha(Plug and Play)
7) Haihitaji Dish ( inatimia antena ya kawaida kabisa)
Izo ndo sifa kuu 7 za nguvu inazozitofautisha na ving'amuzi vingine vy kishamba.
Ndiyo maana Watz huwa tunashindwa biashara,mkuu nilidhani wewe utakuwa agent tuongee biashara.