King'amuzi cha Digitek | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

King'amuzi cha Digitek

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wikiliki, Mar 12, 2013.

 1. Wikiliki

  Wikiliki JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2013
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wadau kuna mtu humu ambaye ameshaanza kutumia kingamuzi cha digitek, je muonekano wake upoje ni HD kweli. Umeki rate vipi.
  Asanteni.
   
 2. NIGGA

  NIGGA JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2013
  Joined: Jan 23, 2013
  Messages: 1,300
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  kwani vimeshaanza kuuzwa?wenye experience navyo si mbaya wakituambia na channel
  gani zinapatikana kwenye iko king'amuzi
   
 3. N

  Nyumbu9 Member

  #3
  Mar 12, 2013
  Joined: Jan 24, 2013
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muonekano wake ni mzuri sana nani wa HD na kinatumia antena ya ndani tu yoyote.Bei ni Tsh 160,000 pamoja na atena na kifurushi cha mwezi mmoja.Na bill yake kwa mwezi ni elfu 6 tu, kimajumuisha local 10 na International news kidogo.Kwa sasa kama unaitaji waweza kunijulisha au piga no 0784635662.Get connectes with Digteck
   
 4. B

  BACHELA Member

  #4
  Mar 12, 2013
  Joined: Mar 11, 2013
  Messages: 26
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Oya kwa mkoa wa ruvuma tutapataje
   
 5. m

  mahakama ya kazi JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2013
  Joined: Feb 20, 2013
  Messages: 1,467
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  vinauzwa karibu na stend kuu njia ya kwenda mbinga
   
 6. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2013
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,732
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  poa mkuu kina chanel gani na ngapi za move, na watoto?
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2013
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,234
  Likes Received: 4,604
  Trophy Points: 280
  King'amuzi gani cha HD.
   
 8. kiwatengu

  kiwatengu JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2013
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 14,098
  Likes Received: 2,626
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapo hujaelewa! jamaa alimaanisha kina channel ambazo ni HD? sidhani kama alimaanisha king'amuzi cha HD.
   
 9. n

  ngako Member

  #9
  Mar 13, 2013
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani vipo nchi nzima?
   
 10. Fisherscom

  Fisherscom JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2013
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,248
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Mkuu king'amuzi hiki hakina malipo ya kila mwezi. Ukinunua kwa hiyo gharama ya 160000 imetoka hiyo.
   
 11. Fisherscom

  Fisherscom JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2013
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,248
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  HD ni High Definition kwa maana kwamba muonekano wa picha zake ni wa kiwango cha juu sana na ziko clear. Hakuna chenga hata kidogo.
   
 12. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2013
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,230
  Likes Received: 2,875
  Trophy Points: 280
  Jamani,mbona tangazo la ITV linasema hakuna malipo ya kila mwezi.
   
 13. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #13
  Mar 13, 2013
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,428
  Likes Received: 2,553
  Trophy Points: 280
  Obviously hakuna chenga hata usingesema, au unadhani kuna kingamuzi au digital broadcasting yoyote yenye chenga duniani? Digital display ya TV ina output mbili tu, either unapata picha au hupati/inaganda, hayo mambo ya chenga yapo kwenye analogue.
   
 14. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2013
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,668
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  Dahhh... King'amuzi kwa gharama ya 160,000/-. Naona vingamuzi vinabanana na madishi. Kwa hiyo, ikiwa napanga kununua TV, inanipasa niongeze 160,000/-. Haya bana, sijui kama nitanunua TV mwaka gani. Nitabana humu JF, kwenye blogs n.k.
   
 15. Fisherscom

  Fisherscom JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2013
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,248
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Nimekupata mkuu,thanx!
   
 16. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #16
  Mar 13, 2013
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  jf ni jf na tv ni tv kwa huna hela subiri utakapopata hela utanunua tu tena smart tv LED ya samsung au sony..
   
 17. J

  Joo Wane JF-Expert Member

  #17
  Mar 13, 2013
  Joined: Mar 14, 2007
  Messages: 321
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  kipo poa,
   
 18. Kionariso

  Kionariso JF-Expert Member

  #18
  Mar 13, 2013
  Joined: Mar 4, 2013
  Messages: 268
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na hili lenye vyombo vya habari wanaosema baada ya mwezi mmoja hawarusha matangazo tena mnalichukuliaje ndugu zangu.Ni ukweli mtupu kuwa watu wengi hawajununua ving'amuzi hivyo habari kutowafikia.
   
 19. jerrytz

  jerrytz JF-Expert Member

  #19
  Mar 13, 2013
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 5,539
  Likes Received: 2,960
  Trophy Points: 280
  Mjini hapa ndugu yangu watu washaanzisha mradi.......Mi nilikuta watu wananunua decorder za Star Times kwa 120,000/= watu wanapiga hela
   
 20. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #20
  Mar 13, 2013
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,230
  Likes Received: 2,875
  Trophy Points: 280
  Jamaa hawatorudi nyuma,wanasema 18% ya watanzania ndiyo wana umeme,sasa ukisema watanzania wengi hawapati matangazo hayo matangazo unakuwa hauko sahihi. Si maneno yangu ni ya J.Makamba.
   
Loading...