Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,600
- 6,721
Mjini hapa ndugu yangu watu washaanzisha mradi.......Mi nilikuta watu wananunua decorder za Star Times kwa 120,000/= watu wanapiga hela
Dah,so sad.
Mjini hapa ndugu yangu watu washaanzisha mradi.......Mi nilikuta watu wananunua decorder za Star Times kwa 120,000/= watu wanapiga hela
Mkuu king'amuzi hiki hakina malipo ya kila mwezi. Ukinunua kwa hiyo gharama ya 160000 imetoka hiyo.
hata mie nimeona hl tangazo kua hakuna malipo ya mwezi sasa hiyo elfu 6 imetoka wapi?Jamani,mbona tangazo la ITV linasema hakuna malipo ya kila mwezi.
hata mie nimeona hl tangazo kua hakuna malipo ya mwezi sasa hiyo elfu 6 imetoka wapi?
labda kama mimi ndio sielewi nini maana ya HD
kama content provider harushi matangazo yake kwa mfumo wa HD,service provider anaweza kuyabadili kuwa HD???
tuseme kwa mfano matangazo ya TBC au CLOUDS au ITV hayapo katika mfumo wa HD au HQ, je digitek au DSTV wanaweza kyabadili kuwa HD???
nadhani tuwe makini kutofautisha kazi ya msambaza matangazo na mrusha matangazo na aina ya matangazo yanayorushwa
ili msije kundanganywa kila kitu HD HD, kwa mlio na DSTv au canal digital mtaona kuna channel za HD na zingine za kawaida.
labda digitek watuambie mitambo yao ina uwezo huo wa kubadili mfumo huo.
King'amuzi kinaweza tv yako kupata picha zinazorushwa kwa kupitia technologia ya digital badala ya analogia.Digital inafanya tv yako idake mawumbi yaliyochujwq vzri na kuondolewa chenga chenga ivyo kufanya tv yako iwe na muonekano mzr zaidi hata kama ni tv ya chogo.Sasa apa king'amuzi kinausikaje na muonekano wa HD?
Ving'amuzi vinazidiana uwezo wa kupokea mawimbi yaliyo na ubora zaidi hapa nia sawa na kusema projector pia uwa na uwezo tofauti wa kuonesha ubora wa picha nazani unakubari basi hata ivi ving'amuzi pia vinauwezo tofauti wa kudaka na kusambaza picha kwa ubora.Ivi vya digitek ni ving'amuzi bora kabisa kuwahi kufanya kazi TZ.Vinapokea mawumbi na kuvirusha katika ubora wa HD ivyo tv kuwa na muonekano mzuri wa picha.Haya ni mambo ya kitaalam kidogo ulitaka kujua zaidi tembelea ofisi zetu zilizo karibu yako
Ziro😛layball:Basi wanaokiuza wasitegemee kupata senti toka mfukoni mwangu. King'amuzi kisicho na chenga mi cha nini? Raha ya futubolu chenga, sasa kama hamna chenga ina maana magemu ya Asenali na Baka sitayaona kimadoido.
Watanunua washabiki wa Man U na Chelsea tu waliozoea mipira ya kubutua
King'amuzi kinaweza tv yako kupata picha zinazorushwa kwa kupitia technologia ya digital badala ya analogia.Digital inafanya tv yako idake mawumbi yaliyochujwq vzri na kuondolewa chenga chenga ivyo kufanya tv yako iwe na muonekano mzr zaidi hata kama ni tv ya chogo.Sasa apa king'amuzi kinausikaje na muonekano wa HD?
Ving'amuzi vinazidiana uwezo wa kupokea mawimbi yaliyo na ubora zaidi hapa nia sawa na kusema projector pia uwa na uwezo tofauti wa kuonesha ubora wa picha nazani unakubari basi hata ivi ving'amuzi pia vinauwezo tofauti wa kudaka na kusambaza picha kwa ubora.Ivi vya digitek ni ving'amuzi bora kabisa kuwahi kufanya kazi TZ.Vinapokea mawumbi na kuvirusha katika ubora wa HD ivyo tv kuwa na muonekano mzuri wa picha.Haya ni mambo ya kitaalam kidogo ulitaka kujua zaidi tembelea ofisi zetu zilizo karibu yako
sijauliza uniambie nini maana ya kingamuzi
Im an ICT expert I know all this
ninachotaka kujua je kingamuzi kina uwezo wa kusambaza matangazo ya tv content provider ambae hatumii teknolojia ya HD au HQ katika matangazo yake?kumbuka kingamuzi ni just service provider na sio content provider.
kuna mdau kauliza kama digitek ni HD ndio hapo nkaanza kuuliza hili swali je ni kweli?
mm natumia canal digital huku madongo kuinamana na tunajua ni tv zipi wanatumia HD au HQ na zingine ni kawaida bado hawana mfumo huo wa HD, waelimisheni wananchi nini maana ya HD sio kuwahadaa tu kibiashara,.
Muonekano wake ni mzuri sana nani wa HD na kinatumia antena ya ndani tu yoyote.Bei ni Tsh 160,000 pamoja na atena na kifurushi cha mwezi mmoja.Na bill yake kwa mwezi ni elfu 6 tu, kimajumuisha local 10 na International news kidogo.Kwa sasa kama unaitaji waweza kunijulisha au piga no 0784635662.Get connectes with Digteck
Jamaa hawatorudi nyuma,wanasema 18% ya watanzania ndiyo wana umeme,sasa ukisema watanzania wengi hawapati matangazo hayo matangazo unakuwa hauko sahihi. Si maneno yangu ni ya J.Makamba.
Jamaa hawatorudi nyuma,wanasema 18% ya watanzania ndiyo wana umeme,sasa ukisema watanzania wengi hawapati matangazo hayo matangazo unakuwa hauko sahihi. Si maneno yangu ni ya J.Makamba.
Mkuu,wewe ni agent wa hii kitu?
ww upo kibiashara zaidi! Mvuta kamba uvutia.....
Mkuu mbona special channelsZifuatazo ni baadhi ya local channel na international channel from digiteck:-
local TV
ITV daima-Super brand TV in TZ
EATV
TBC1
Chanel 10, Star Tv, Capital TV, Clouds Tv, TMTV-tanzania music television, Pia kuna international news kama Aljazeera, emmanuel for christians and IBN TV for muslim, pia kuna Africa Tv swahili.
Kama kuna maswali zaidi uliza tu