Uliangalia mpira jana?yanga v simba!
Hawajaonesha iyo dili nadhan kachukua azam tv
Uliangalia mpira jana?yanga v simba!
Yan da! king,amuz cha continetal raha sana yaan machanel buree kabsaaa! hulipii chochote
Yan da! king,amuz cha continetal raha sana yaan machanel buree kabsaaa! hulipii chochote
mkuu unatumia receiver gani hiyo niitafute??
Mimi natumia receiver tofauti na ya continental lakini napata chanel zao zote hao tena bure za bongo zote tena mpaka agape, fire, kwanza, morningstar na za nje nyingi sana zinafika mpaka 70
Kinaitwaje hicho king'amuzi chako na sie rukitafute
ITV,CHANEL10,startv,tbc1,clouds tv,eatv,dw,aljezra,bbc,chanel 5, nazngne nyingi hadi kufkia 22,
Azam one & two ipo?
Au ndo style ya kupata wateja weng afu badae kama kawa
Yan da! king,amuz cha continetal raha sana yaan machanel buree kabsaaa! hulipii chochote
Aiseee ulitabir yamefikasoon tutaanza kuwatoza hela kwa mwezi