King'amuzi cha Azam tatizo nini?

King'amuzi cha Azam tatizo nini?

evonik

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
3,996
Reaction score
5,187
Habar zenu Wakuu!!
Ni takriban wiki sasa tangu king'amuzi cha Azam kigome kuonyesha channel. Yaani iko hiv nikiwasha king'amuzi kinaleta channel list automatically then zinajirusha zenyewe bila kuonyesha video na hapo hufanyika pasipo mm kubonyeza popote baada ya kuwasha ,kwa ufupi channel zinajirusha zenyewe bila mm kubonyeza remote .Sijajua tatizo ni nini
? Naomben msaada wakuu

NAWASILISHA WAKUU
 
even mimi imenitokea mara mbili tatu, seems wana matatizo kwao huko
 
Mimi nilikuwa na tatizo Kama hilo lakini leo usubuhi nilivyowasha ikaja msg kwenye screen ya kufanya updating, ilivyomaliza mambo yakawa bien. Ila sikupiga simu kabla cus serv kuulizia. Nadhani issue ni monthly updates, may be zimechelewa.
 
Sijui tatizo liko wap ila jiran yangu hapa naye anatumia king'amuz Azam lkn kinaenda vzr tu bila shida
 
Back
Top Bottom