King'amuzi cha Azam hakiwaki

kitonger

JF-Expert Member
Jan 31, 2020
1,149
1,511
Habarini Wakuu.Nina King'amuzi changu cha azam sikukitumia yapata 4 months,leo nakiwasha hakiwaki..nikajua tatizo ni adapter,nikakijaribisha kwa jirani yangu kupitia adapter yake..lakini bado tatizo lipo vilevile..Msaada wakuu nifanyaje.
 
itakuwa upande wa power circuit yake kuna kitu kimekufa.. peleka tazara kunaofc za azam pale wanashughulikia kama upo dar
 
Kimeungua itakuwa! Km kulinyesha mvua na radi zikapiga Basi itakuwa kmeungua! Kwa dar wanatengeneza bure kwa huku kwetu mafundi elfu 20
 
Back
Top Bottom