King'amuzi cha Azam cha Antenna mlonunua tupeni mrejesho

Nyamwage

Member
Oct 16, 2020
55
125
Ukisha nunua kwanza kabisa mti utakao fungia antena uwe na urefu wa angalau mita 8 au zaidi ndio intensity na quality zitasoma arafu antena yake ielekee kifuru kwa wakazi wa Dar ndiko mitambo yao waliko fungia then una search unazipata channel kama 60+ pamoja na zile za HD zote zinaonesha sababu ukisha nunua kuna kifurushi kikubwa cha mwezi unapewa bure
 
toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
3,767
2,000
Ubora wa picha jee

aker2011

JF-Expert Member
Apr 22, 2015
608
1,000
Kwa maelezo niliyopewa baada ya kufika mkoani kwangu, niliambiwa kinacover kilometer nadhan around 25-30 kwahyo kama utakua nje ya eneo hilo ikitasumbua, pia antena unaweka nje kama kawaida na pia kama sio mtundu wa kuset lazima fundi aje na umlipe,, kuhusu kuonyesha kinaonyesha hd kama kawaida na pia kina waya wa HDMI na kuna offer ya mwezi mmoja. Baada ya kuona hivyo nilichagua cha dish maana kina option nyingi zaidi japo na bei yake inaongezeka kdogo tofauti na cha antena.
 
mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
3,663
2,000
Jee channel za hd zipo?

Ubora wa picha jee ukilinganisha na visimbusi vingine vya antenna?

King'amuzi cha Azam cha Antenna mlonunua tupeni mrejesho
Hapa JF wote matajiri Mkuu, Amini hakuna atakayekupa mrejesho kwamba anatumia Dekoda ya Antena. Hapa wote Stori zao ni Super Sport na Bein Sport na hata mwenye nacho akitaka kukupa mrejesho atasema nilipata taarifa toka kwa rafiki au Kijijin nk! Lkn nyuma ya pazia mmmmmmh.
 
luck

JF-Expert Member
Oct 3, 2009
1,112
2,000
Jee channel za hd zipo?

Ubora wa picha jee ukilinganisha na visimbusi vingine vya antenna?

King'amuzi cha Azam cha Antenna mlonunua tupeni mrejesho
hivyo visimbuzi vingine ni vipi mkuu?
 
toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
3,767
2,000
Upo sahihi sana humu watu wote ni matajiri nashangaaga sana
Hapa JF wote matajiri Mkuu, Amini hakuna atakayekupa mrejesho kwamba anatumia Dekoda ya Antena. Hapa wote Stori zao ni Super Sport na Bein Sport na hata mwenye nacho akitaka kukupa mrejesho atasema nilipata taarifa toka kwa rafiki au Kijijin nk! Lkn nyuma ya pazia mmmmmmh.
 
Peramiho yetu

JF-Expert Member
May 25, 2018
2,042
2,000
Sheikh mtaani kinyonge, nyuma ya keyboard pia kinyonge? Haiwezekani
Haha mkuu unateseka ukiwa wapi

Humu ndan wote tunaishi masaki. Obey na tunamiliki ndinga Kali na pisi Kali kila mtu anakazi ya heshima wengi wetu n ma co wa kampun kubwa kubwa
Unakwama wapi mkuu Ni pm nikupatie mchongo

HAHAHA USIKASIRIKE MKUU N UTANI TU. UNA JERO HAPO NIPATE MIHOGO YA KUKAANGA MKUU
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom