Ukisha nunua kwanza kabisa mti utakao fungia antena uwe na urefu wa angalau mita 8 au zaidi ndio intensity na quality zitasoma arafu antena yake ielekee kifuru kwa wakazi wa Dar ndiko mitambo yao waliko fungia then una search unazipata channel kama 60+ pamoja na zile za HD zote zinaonesha sababu ukisha nunua kuna kifurushi kikubwa cha mwezi unapewa bure
Picha ni FHD 1080p Kwa channel za HD kinaonye picha clear sanaUbora wa picha jee
Hapa JF wote matajiri Mkuu, Amini hakuna atakayekupa mrejesho kwamba anatumia Dekoda ya Antena. Hapa wote Stori zao ni Super Sport na Bein Sport na hata mwenye nacho akitaka kukupa mrejesho atasema nilipata taarifa toka kwa rafiki au Kijijin nk! Lkn nyuma ya pazia mmmmmmh.Jee channel za hd zipo?
Ubora wa picha jee ukilinganisha na visimbusi vingine vya antenna?
King'amuzi cha Azam cha Antenna mlonunua tupeni mrejesho
hivyo visimbuzi vingine ni vipi mkuu?Jee channel za hd zipo?
Ubora wa picha jee ukilinganisha na visimbusi vingine vya antenna?
King'amuzi cha Azam cha Antenna mlonunua tupeni mrejesho
Hapa JF wote matajiri Mkuu, Amini hakuna atakayekupa mrejesho kwamba anatumia Dekoda ya Antena. Hapa wote Stori zao ni Super Sport na Bein Sport na hata mwenye nacho akitaka kukupa mrejesho atasema nilipata taarifa toka kwa rafiki au Kijijin nk! Lkn nyuma ya pazia mmmmmmh.
Sheikh mtaani kinyonge, nyuma ya keyboard pia kinyonge? HaiwezekaniUpo sahihi sana humu watu wote ni matajiri nashangaaga sana
Mbona kuna uzi humu watu kibao walikiri kuwahi kuwa saidia fundi...Upo sahihi sana humu watu wote ni matajiri nashangaaga sana
Mbona umepewa majibu mkuuUpo sahihi sana humu watu wote ni matajiri nashangaaga sana
Haha mkuu unateseka ukiwa wapiSheikh mtaani kinyonge, nyuma ya keyboard pia kinyonge? Haiwezekani
Kwanini? Ikiwa 'Decode' ni 'Ng'amua' hivyo kwanini 'Decoder' isiwe 'King'amuzi'Neno sahihi ni Kisimbuzi na siyo King'amuzi....