kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,239 Reaction score 17,677 Jun 27, 2013 #1 Mswati kaingia dar Kiafrika Zaidi.. Wearing style, Security guard and alike...wanadumisha utamaduni wa kiafrika... Cheki tofauti yake Mfalme Mswati wa ii, ametua nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 'Smat Patnership' unaotarajia kuanza Juni 28 mwaka huu Attachments 02.jpg 36.1 KB · Views: 5,926
Mswati kaingia dar Kiafrika Zaidi.. Wearing style, Security guard and alike...wanadumisha utamaduni wa kiafrika... Cheki tofauti yake Mfalme Mswati wa ii, ametua nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 'Smat Patnership' unaotarajia kuanza Juni 28 mwaka huu
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,830 Reaction score 12,291 Jun 27, 2013 #2 Sijaelewa ktu.
Nyange JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 3,517 Reaction score 1,869 Jun 27, 2013 #3 Tunamkaribisha sana!
B Barunho Member Joined May 5, 2013 Posts 24 Reaction score 3 Jun 27, 2013 #4 Anakuja kufanyaje..ebu mtoa habari atukamilishie ii taarifa
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,239 Reaction score 17,677 Jun 27, 2013 Thread starter #5 yuko tofauti kabisa na suti za akina bilali...
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,239 Reaction score 17,677 Jun 27, 2013 Thread starter #6 KakaJambazi said: Sijaelewa ktu. Click to expand... Mfalme Mswati wa II ametua nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 'Smat Patnership' unaotarajia kuanza Juni 28 mwaka huu
KakaJambazi said: Sijaelewa ktu. Click to expand... Mfalme Mswati wa II ametua nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 'Smat Patnership' unaotarajia kuanza Juni 28 mwaka huu
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,830 Reaction score 12,291 Jun 27, 2013 #7 Ivi hapo pichani wanaomkaribisha, wanapomtazama fikra gani zinawajia kichwani mwao?
awp JF-Expert Member Joined Jun 6, 2012 Posts 1,711 Reaction score 603 Jun 27, 2013 #8 Binafsi nimempenda saaaaaaaaana na asili, yake naona mijamaa inamshangaa alivovaa
awp JF-Expert Member Joined Jun 6, 2012 Posts 1,711 Reaction score 603 Jun 27, 2013 #9 KakaJambazi said: Ivi hapo pichani wanaomkaribisha, wanapomtazama fikra gani zinawajia kichwani mwao? Click to expand... waduwaa
KakaJambazi said: Ivi hapo pichani wanaomkaribisha, wanapomtazama fikra gani zinawajia kichwani mwao? Click to expand... waduwaa
Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,619 Reaction score 4,303 Jun 27, 2013 #10 KakaJambazi said: Ivi hapo pichani wanaomkaribisha, wanapomtazama fikra gani zinawajia kichwani mwao? Click to expand... Haswa huyo jamaa aliyevaa suti na tai ya mistari! cheki anavyomtafakari?
KakaJambazi said: Ivi hapo pichani wanaomkaribisha, wanapomtazama fikra gani zinawajia kichwani mwao? Click to expand... Haswa huyo jamaa aliyevaa suti na tai ya mistari! cheki anavyomtafakari?
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,239 Reaction score 17,677 Jun 27, 2013 Thread starter #11 KakaJambazi said: Ivi hapo pichani wanaomkaribisha, wanapomtazama fikra gani zinawajia kichwani mwao? Click to expand... Wengi wanamshangaa.. Jamaa anauonyesha uafrika..
KakaJambazi said: Ivi hapo pichani wanaomkaribisha, wanapomtazama fikra gani zinawajia kichwani mwao? Click to expand... Wengi wanamshangaa.. Jamaa anauonyesha uafrika..
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,239 Reaction score 17,677 Jun 27, 2013 Thread starter #12 awp said: Binafsi nimempenda saaaaaaaaana na asili, yake naona mijamaa inamshangaa alivovaa Click to expand... wanajiona wajanja kumbe makanjanja tuu..
awp said: Binafsi nimempenda saaaaaaaaana na asili, yake naona mijamaa inamshangaa alivovaa Click to expand... wanajiona wajanja kumbe makanjanja tuu..
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,239 Reaction score 17,677 Jun 27, 2013 Thread starter #13 Cheki membe anavyomshangaa Mswati...
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,949 Reaction score 102,723 Jun 27, 2013 #14 Amekuja na totoz zake
L Lupaya JF-Expert Member Joined Dec 23, 2012 Posts 248 Reaction score 93 Jun 27, 2013 #15 hopaje said: mzee wa totoz Click to expand... Yaap! Kidume.
Mjuni Lwambo JF-Expert Member Joined Apr 25, 2012 Posts 11,719 Reaction score 13,423 Jun 27, 2013 #16 kiwatengu said: Wengi wanamshangaa.. Jamaa anauonyesha uafrika.. Click to expand... Mtoto mdogo mwili jumba...., anyway, ningemheshimu kama angekuwa hafanyi udhalilishaji dhidi ya wanawake nchini mwake.
kiwatengu said: Wengi wanamshangaa.. Jamaa anauonyesha uafrika.. Click to expand... Mtoto mdogo mwili jumba...., anyway, ningemheshimu kama angekuwa hafanyi udhalilishaji dhidi ya wanawake nchini mwake.
Woga tupa kulee JF-Expert Member Joined Sep 4, 2012 Posts 1,749 Reaction score 1,311 Jun 27, 2013 #17 Hala hala mabinti sie!
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,239 Reaction score 17,677 Jun 27, 2013 Thread starter #18 Mjuni Lwambo said: Mtoto mdogo mwili jumba...., anyway, ningemheshimu kama angekuwa hafanyi udhalilishaji dhidi ya wanawake nchini mwake. Click to expand... Swala la Wanawake huko kwao wanalifanya kiutamaduni mkuu..
Mjuni Lwambo said: Mtoto mdogo mwili jumba...., anyway, ningemheshimu kama angekuwa hafanyi udhalilishaji dhidi ya wanawake nchini mwake. Click to expand... Swala la Wanawake huko kwao wanalifanya kiutamaduni mkuu..
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,239 Reaction score 17,677 Jun 27, 2013 Thread starter #19 Marry Hunbig said: Hala hala mabinti sie! Click to expand... you want some? ogopa mtu anayelindwa kiutamaduni...
Marry Hunbig said: Hala hala mabinti sie! Click to expand... you want some? ogopa mtu anayelindwa kiutamaduni...
Z zamlock JF-Expert Member Joined Dec 25, 2010 Posts 3,840 Reaction score 660 Jun 27, 2013 #20 Ndallo said: Haswa huyo jamaa aliyevaa suti na tai ya mistari! cheki anavyomtafakari? Click to expand... Alafu jamaa kumbe ni mrefu mpaka bilal ameonaka mdogo.....alafu ajaja na demu wake sijui kwa nn amemuacha huwa ana wanawake wazuri sana huyu jamaa
Ndallo said: Haswa huyo jamaa aliyevaa suti na tai ya mistari! cheki anavyomtafakari? Click to expand... Alafu jamaa kumbe ni mrefu mpaka bilal ameonaka mdogo.....alafu ajaja na demu wake sijui kwa nn amemuacha huwa ana wanawake wazuri sana huyu jamaa