King crazy gk

N'take radhi mpwa mimi sina kabisa laini hiyo.

Ha ha ha,

alisema none of the above, nikajua hata wewe ni none of the above kumbe uko within. Nikajua kamchagua mzee wa kuji express. Kumbe wewe du! samahani comrade na hongera.
 
Ha ha ha,

alisema none of the above, nikajua hata wewe ni none of the above kumbe uko within. Nikajua kamchagua mzee wa kuji express. Kumbe wewe du! samahani comrade na hongera.

Hahahaha wote mmeliwa mzee wa kujinafasi na bembea
 
Mliochangia mada hii mnadakia tu mambo na si kuchanganua mambo, kisa mdau pale juu kamtaja King Crazy GK kama Nguli akimaanisha Mahiri wa fani hiyo ya muziki na kwa bahati kuna ndugu analog in kama Nguli naye akajieleza pale mkajua ndiye mwenyewe King Crazy GK. Aliyetoa maelezo hayo. Someni kwanza kabla ya kuchangia, maana naona kuna watu wakiingia humu badala ya kuonesha ujuzi wa kufikiri kama one among great thinkers wanakuja na ubishi na lugha chafu, kama hamna mada laleni mpate afya njema. kama kuna mdau anafahamu ndugu yetu King Crazy GK yuko wapi atupe habari maana kusema ukweli ukitaja bongo 'flavour' jina la King Crazy GK nalo litakumbukwa jamani.

Don't take it personal man!
 
His style was a problem, hana vina plus mistari myepesi sanaaaa.

hatujasikia mashairi yako yenye Viina mzee, usikatishe watu tamaa, jamaa anapafomu vizuri tu na kama wewe unaona hayana viina si wewe mzee, acha unafiki huo.

na hiyo picha ya mtu aliye kufa----------mzee you aint be a realistic nigga kama huwezi kukubali wengine wakifanyacho
 
Okey nakutakia maisha marefu na huyo mtumia simu ya tigo. Thanks for being honest.

nafanya maombi, ntakayefunuliwa na Mungu ndo huyo huyo!!! huyo unayemrrefer hapa sijui nani
 
Mpwa ha ha haaa, kama ni kufa kila mtu afe na kifo chake,
Tusije kufa uniform death ka wale wa Chake Chake,
Anapenda mikate, wewe utampa mate,
Haa haa haaa, nimekumbuka ule wimbo wake wa 'NITAKUFAJE', na kweli alitabiri kifo chake, ingawa sasa ni kifo cha mistari. Nadhani sasa amepata jibu kuwa amekufaje!
 
Nilipenda sana nyimbo ya huyu Kijana ya "Sister sister" Hatuna sababu ya kumzungumzia vibaya , Maisha ni kupanda na kushuka ,kila mtu ana mipango yake ya maisha. Tujifunze kusaidiana na si kupondana.
 
Haa haa haaa, nimekumbuka ule wimbo wake wa 'NITAKUFAJE', na kweli alitabiri kifo chake, ingawa sasa ni kifo cha mistari. Nadhani sasa amepata jibu kuwa amekufaje!

we ulijidanganya pande hii hamna great thinkers....umeisoma hiii???
 
hatujasikia mashairi yako yenye Viina mzee, usikatishe watu tamaa, jamaa anapafomu vizuri tu na kama wewe unaona hayana viina si wewe mzee, acha unafiki huo.

na hiyo picha ya mtu aliye kufa----------mzee you aint a realistic nigga kama huwezi kukubali wengine wakifanyacho

That was my view, Afande Sele nae mnafiki au???

By the way what's wron with the picture? Does it bother you?
 
Haa haa haaa, nimekumbuka ule wimbo wake wa 'NITAKUFAJE', na kweli alitabiri kifo chake, ingawa sasa ni kifo cha mistari. Nadhani sasa amepata jibu kuwa amekufaje!

Nikisema Kabuche nininini sijui ananiita mnafiki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom