Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,387
Mkuu itabidi tupige kolabo,
Tena tumevaa lapa ya yebo,
Tuwadisi wapenda chabo,
Wakibisha tunawapa viboko,
Na wajue sisi sio bokoboko,
Ngoja kwanza nifanye mambo,
Nisije kukupa chance ukaweka ulimbo,
Ukaniacha doro ka mtarimbo,
Nahisi mtoto anaweza kucheza double,
Na mimi sina shobo nipo stable.
Au kama vipi tumpe xspin atest mshobo,
Kabla Geof hajaja kutu distabo
Si unaona naanza ni naija ka b'banj kwenye fall in lavOOOOO!!!!