Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,932
Hahahaah hawana undugu Na MTU hao!wewe na mie ni sawa natishika kabisa kabisa
Hahahaah hawana undugu Na MTU hao!wewe na mie ni sawa natishika kabisa kabisa
Mi huwa nawaogopa kama sijapata silaha,lakini nikishashika jiti la futi kama 3 - 4 kaisha.Hahahaah hawana undugu Na MTU hao!
Hujakutana Na black mambaMi huwa nawaogopa kama sijapata silaha,lakini nikishashika jiti la futi kama 3 - 4 kaisha.
Mi enzi hizo porini sana tu nimeshakutana nao,nikishashika silaha amekwisha,uzuri wa hao wadudu (hasa hao wa sumu sio wa kumeza watu) ukimpiga moja ikimuingia vizuri basi umemmaliza.Hujakutana Na black mamba
Kweli mkuu black mamba ndo nyoka kichaa mwendawazimu mwenye sumu kali kuzidi woteHujakutana Na black mamba
king cobra anatabia ya kula wenzake. hata kifutu na koboko hawafurukuti kwa huyo.Huwa wanafeed kwa kumeza au kula vitu vilivyo vidogo kulangana na huwezo wa kuwinda kuvunja na kumeza...