Nyoka hata akiwa mdogo kwangu anatisha...!!!Hii clip nimeiangalia mpaka mwisho lakini majoka yanatisha, hasa joka kulimeza jenzake.
wewe na mie ni sawa natishika kabisa kabisaNyoka hata akiwa mdogo kwangu anatisha...!!!
Huwa wanafeed kwa kumeza au kula vitu vilivyo vidogo kulangana na huwezo wa kuwinda kuvunja na kumeza...he kumbe cobra naye anameza kheeeeeeeeeee makubwa ya jongo nilijua ana sumu tu
Hasa la kushangaza kuna watu wanapenda sana nyoka hata kuwafugaInatisha aisee.Nikipewa nafasi moja tu ya kuamua jambo na linakuwa basi ningeamua nyoka wote watoweke duniani.
Mi nilidhan chatu ni mojawapo ya viumbe visivyo na maadui wa asili
Ukiwachunguza sana hao watu waweza kukuta ka-ushetan fulani ndani yao.Hasa la kushangaza kuna watu wanapenda sana nyoka hata kuwafuga
Nimeona mkuu. Hivi huwa ni lazma wakishakutana nyoka wa ambao ni jamii tofauti lazima mmojawapo amezwe? Maana nishaona video nyingi za namna hiyoUneona anavyomezwa kiulaini?