Kinana: Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists

Kinana: Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists

Huwa nachukia sana waandishi wa nje wasiojua kitu kuhusu siasa za Tanzania wanapoandika bila uchunguzi.

I am not a Lowassa fan by far, lakini ninaposoma kitu kama Lowassa kakataliwa na wapiga kura kuwa mgombea wa CCM nataka kutapika.

Watu waache kuangalia uchaguzi wa Tanzania kwa prism yao ndogo.

Kama hawapendi terrorists, Kinana ana terrorize tembo, CCM inamuachia tu.

Kama hawataki terrorism, kukosa chakula Watanzania ni terror kubwa kuliko Al Qaeda na ISIS.

Mbona hatuwasikii kuongelea food security?

Mimi nilidhani muandishi ni Kinana
 
Kwa iyo wew na akil zako timamu unataka kuja tuaminisha kuwa rais ambae wamerekan wanamkubali sisi ndo tumchague?
Kama huu ndo unaista usomi basi taifa hili limelaaniwaa, unataka tuchague kibaraka wa marekani.sio?
Alaf unajiona umeletaa habari mwenyew, acha kukurupuka

Lowasa ni chaguo la watZ sio wamarekani ilo chaguo la wamerekani liende likaongoze marekani sio tz
Teh teh CCM bwana, kuna mmoja alikuwa anataka urais wa TZ kisa wamarekani wanamtaka! Akatwa.
 
Na hapo ndipo tatizo kubwa la manyumbu lilipo, mnalinganisha visivyolingana!
Unaelewa ni kwa nini Uhuru Kenyata alichaguliwa kuwa Raisi wa Kenya?
Kama hauelewi nitakusaidia ni kwa sababu Wakikuyu ambao ndiyo kundi analotoka Kenyata ndiyo kundi lenye watu wengi Kenya klk yote na hivyo kundi la Wakikuyu waliungana na kundi la tatu kwa ukubwa Kenya liitwalo Kalenjin ndiyo wakaweza kuyashinda makundi mengine kwa idadi wenyewe Wakenya wanaita tyranny of numbers hivyo ukiangalia ni kwamba ni mazingira mawili tofauti kati ya Kenya na TanZania kwani fisadi Lowasa na Genge hawana tyranny of numbers ingawaje wanajaribu kuchochea Walutheri lkn sasa kwa bahati mbaya Wakatoliki ni wengi klk Walutheri!

Kwa iyo ukawa sio muunganiko wa vyama sio?
 
alichaguliwa kutokana na ukabila kenya. kabila la kenyata kikuyu wao ni 1/3 ya raia wa kenya. mshitakiwa mwenza wa kenyatta wao ni kabila la tatu kwa ukubwa. kwa kufanya hesabu za ukabila kenyatta na ruto wakafanya ushirika wa kikabila na kushinda kisha kufanya hila kuharibu kesi yao the hague. hizo ndio hesabu mbowe anajaribu kufanya. ushirika wa wachg, wakaskazini, na mtandao binafsi wa edo kuingia ikulu bila kujali shutuma ya ufisadi dhidi ya edo.

Swala apa zile propaganda wakati wa kampeni kuwa huyo atakua anaongoza nchi akiwa gerezani zilikuwepo au hazikuwepo?!
 
If true this article is a hand of kinana, it speaks a lot of mental sickness and propaganda of highest order. Why then up to now they have failed to get the court ruling and close the Sheikhs case rather than holding these activists for no reason apart from political gains of CCM. The game soon to end and justice shall prevail.

By Abdulrahman Kinana

10th Sept 2015, 05:30 PM

In 2013 two British volunteer teachers, Katie Gee and Kirstie Trup – both at the time teenagers – suffered a horrific attack while in Zanzibar, part of Tanzania in East Africa, when two men on motorbikes threw sulphuric acid in their faces. Flown back to London, surgeons removed from Katie Gee, the worst affected of the two, burnt skin from 30 per cent of her body. One year later, she was still required to wear a plastic mask to reduce the scarring covering her face.

Assisted by investigators from the British police at New Scotland Yard and Interpol, the Tanzanian authorities later arrested for the crime members of Uamsho or “Awakening”, an Islamic terrorist group with known links to Boko Haram. They have now been charged in court. Uamsho has a history of targeting foreigners and even Muslim and Christian religious leaders who do not support their aim of tearing apart the union of Tanzania through terrorism and converting Zanzibar into an extremist state.



Even after the attacks on Gee and Trup, who were only in Zanzibar to help and others who have meant no harm to anyone, as we learnt in the first few weeks of election campaigns in Tanzania, Edward Lowassa, an opposition candidate, has clear sympathies to the aims of these extremists. For some years the status of Zanzibar within the United Republic of Tanzania has been an important question for the people of that island. A tiny minority advocates separation from the mainland with which it was united in the same year it overthrew the Arab regime. There is nothing wrong in holding perfectly legitimate political debates so long as they are pursued through peaceful, democratic means.
But the question is, how long it would be possible for such discussion to remain peaceful if the opposition were to succeed in the upcoming Tanzanian General Election? Lowassa, who, after only 18 months as Prime Minister, was forced by the Parliament to resign from the post after a corruption scandal has promised the release of those who committed the acid attack. Allowing the suspected terrorists to walk free and, without doubt, resume their violent campaign would threaten the safety of ordinary Zanzibarians, mainland Tanzanians – most of whom are moderate whether they follow Islam or Christianity – and foreign visitors, many of whom hail from the UK.

Lowassa is proposing this purely as part of his breathtakingly cynical bid for the presidency. Rejected by voters in his attempt to win the nomination to be the candidate for the governing Chama Cha Mapinduzi (CCM) party he immediately decamped to the opposition to become theirs. Moderate opposition leaders, including Professor Ibrahim Lipumba, the chairman of the predominantly Zanzibarian Civic United Front have resigned, in protest, to support the government. We can only assume that Lowassa’s outreach to these extremists was a desperate response to the fact the majority of Zanzibarians in that long-standing stronghold for the opposition have been refusing to support his presidential bid.

It is hardly surprising they do not. This move has angered many Christian bishops who had called for government to swiftly prosecute extremists who are widely believed to have burnt churches and targeted Christians with violence, including acid attacks. It is clear that Lowassa’s interests do not lie with helping the people of Tanzania, but by helping himself to power, and the spoils he believes await him there. After all, the character of Lowassa is well known not just to Tanzanians but also to the West. Wikileaks revealed through one of many U.S. diplomatic cables that concern Lowassa exactly what the Americans think about him, when then U.S. Ambassador Mark Green stated: “Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years.”

Neither Tanzania nor the West can afford to have Tanzania as the new frontier of terrorism in Africa through Lowassa’s actions. Despite the terrifying attacks they have conducted over the years, they have not yet demonstrated they have the strength of other jihadist groups such as Al-Shabaab or Boko Haram. Indeed, by comparison, Tanzania has been mercifully peaceful and safe from the violence committed against our neighbours such as Kenya.

While who governs Tanzania is only a question the citizens of my country have the right to answer, it is right that Britain and its allies in the struggle against Islamic terrorism should be extremely concerned were Lowassa to win and action his promise to the extremists. When Al-Shabaab attacked Westgate Mall in Nairobi in 2013, the UK and US government issued travel advisories to its citizens against visiting many parts of Kenya. This has seriously affected their crucial tourism industry: it is without doubt that a revival of terror in Zanzibar would devastate the tourism industry of Tanzania and, in particular, that of Zanzibar on which the island is heavily dependent.

So the choice facing Tanzania at this coming election has ramifications both at home but also far beyond our own borders. If Lowassa and his opposition supporters win, a slim possibility as things stand today, then the country stands to become a new front for terrorists, just at the very time when they are facing defeat in other countries across Africa.

Kinana has served as the first Speaker of the East African Legislative Assembly, and Deputy Defence and Deputy Foreign Minister of Tanzania. He now serves as Secretary-General for the governing CCM party.[/QUOTE]
 
KWA WASIOELEWA KINGEREZA NIMEJARIBU KUWATAFSIRIA HAPO KWA LUGHA YETU YA HOME:

Mnamo mwaka 2013 walimu wawili wa kujitolea kutoka Uingereza, Katie Gee na Kirstie Trup – wote wakiwa vijana kipindi hicho walikumbwa na mashambulizi ya kutisha wakati wakiwa Zanzibar walipomwagiwa tindikali sehemu za nyuso zao. Walisafirishwa nyumbani London na madaktari waliweza kuondoa asilimia 30 ya ngozi iliyoungua ya mwili wa Katie Gee. Mwaka mmoja baadaye, yeye bado alitakiwa kuvaa mask ili kupunguza majeraha kufunika uso wake.
Tukisaidiwa na wachunguzi wa New Scotland Yard na Interpol kutoka Uingereza, serikali ya Tanzania baadaye waliwakamatwa kwa wanachama wa uhalifu wa Uamsho au "Mwamko", kundi la Kiislamu na kigaidi wenye connection na makundi mengine ya kigaidi. Wamesha shtakiwa mahakamani kwa sasa. Uamsho ina historia ya kulenga wageni na viongozi na pia Waislamu na Wakristo ambao hawa kubaliani na nyendo zao. Lengo lao ni kusambaratisha yao muungano wa Tanzania kupitia ugaidi na kubadili Zanzibar kuwa jimbo la kigaidi.
Hata baada ya mashambulizi dhidi ya Gee na Trup, ambao walikuwa tu Zanzibar kwa lengo la kusaidia na hawakuwa na madhara kwa mtu yeyote, kama tulivyojifunza katika wiki chache za kwanza za kampeni za uchaguzi nchini Tanzania, Edward Lowassa, mgombea wa upinzani, ana wahurumia wazi wazi magaidi hawa wasio na jema kwa taifa.
Kwa miaka kadhaa ya hadhi ya Zanzibar ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekuwa swali muhimu kwa watu wa kisiwa hicho. Wachache wanatetea kujitenga kutoka bara ambayo ilijiunga nayo baada ya kuipindua serikali ya Kiarabu. Hakuna baya lolote kama watafanya mijadala halali ya kisiasa kwa muda mrefu kama watafuata njia ya amani naya kidemokrasia.
Lakini swali ni, namna gani majadiliano haya ya amani yataendelea endapo wapinzania watashinda uchaguzi mkuu? Lowassa, ambaye, baada ya miezi 18 tu kama Waziri Mkuu, alilazimishwa na Bunge kujiuzulu kutoka katika wadhifa baada kashfa ya rushwa ameahidi kuwatoa wale waliofanya mashambulio hayo asidi. Kuruhusu magaidi watuhumiwa kutembea bure na, bila shaka, kuendelea kampeni zao vurugu ambao ni hatari kwa usalama wa wazanzibar wa kawaida, Watanzania Bara - ambao wengi wao hufuata Uislamu au Ukristo - na wageni wa nje, ambao wengi wao ni kutoka Uingereza .
Lowassa anapendekeza haya kama sehemu ya jitihada zake za kijinga kuupata urais.Baada ya kukataliwa na wapiga kura katika jaribio lake kushinda uteuzi wa kuwa mgombea wa uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) yeye mara moja akakimbilia upinzani kusimamishwa kuwa mgombea wao.
Viongozi wa upinzani, ikiwa ni pamoja na Profesa Ibrahim Lipumba, mwenyekiti wa CUF kuwa amejiuzulu, katika maandamano ya kumpinga, ili kuisaidia serikali. Tunaweza kudhani tu kwamba hii ni njama ya kuwavutia watu wenye msimamo mkali dhidi yake kipindi hiki akisaka urais .
Hatua hii ime wakasirisha maaskofu wengi wa Kikristo ambao wametoa wito kwa serikali kwa haraka kuwashitaki watu wenye msimamo mkali ambao kwa kiasi kikubwa wanaaminika kuwa walihusika kuteketeza makanisa na kuwalenga wakristo kwa kufanya vurugu, ikiwa ni pamoja na mashambulizi asidi. Ni wazi kwamba maslahi Lowassa ya kusema uongo si kwa kuwasaidia watu wa Tanzania, lakini kwa kujisaidia mwenyewe kwa nguvu ili kuupata urais na kufaidi mambo matamu ya urais.
Baada ya yote, tabia ya Lowassa zinajulikana na si tu kwa watanzania bali kwa nchi za Magharibi pia. Wikileaks kupitia moja ya majarida yake yaliandika namna mamarekani wanafikiri juu yake, wakati huo Balozi wa Marekani nchini Mark Green alisema: ". Shughuli za Lowassa za kirushwa imekuwa wazi katika Tanzania kwa miaka mingi"

Watanzania na magharibi hawataweza kumudu nchi yetu kuwa geti jipya la ugaidi katika bara la Afrika kwa matendo Lowassa. Licha ya mashambulizi ya kutisha ambayo wamefanya zaidi kwa miaka, wao bado hawajaonyesha wana nguvu kama makundi mengine ya jihadi kama vile Al-Shabaab au kundi la Boko Haram. Hakika, kwa kulinganisha, Tanzania imekuwa na amani na usalama kutokana na kujiepusha na vurugu dhidi ya majirani zetu kama vile Kenya.
Tanzania inafuata njia ya kidemocrasia na ni haki ya wananchi kumchagua kiongozi wao . Ni haki ya Uingereza na washirika wake amabao wako mbele kwenye vita dhidi ya ugaidi wa Kiislamu wanapaswa kuwa na wasiwasi sana endapo Lowassa akishinda na kufanikisha ahadi yake kwa magaidi hawa.
Wakati Al-Shabaab walishambulia Westgate mjini Nairobi mwaka 2013, Uingereza na Marekani serikali ilitoa ushauri kusafiri kwa wananchi wake dhidi ya kutembelea maeneo mengi ya Kenya. Hii yameathiri kwa kiasi kikubwa sekta zao muhimu utalii: ni bila shaka kwamba ufufuo wa ugaidi Zanzibar itakuwa na madhara makubwa katika sekta ya utalii wa Tanzania na, hasa, ile ya Zanzibar ambayo wana wa visiwa hivi wanaunategemea.
Hivyo uamuzi unaowakabili watanzania katika uchaguzi ujao ana madhara nyumbani lakini pia mbali zaidi ya mipaka yetu wenyewe. Kama Lowassa na wafuasi wake wa upinzani watashinda, uwezekano mdogo kama mambo yalivyo leo, basi nchi itasimama kuwa geti jipya kwa magaidi ambao wanakabiliwa na kushindwa katika nchi nyingine barani Afrika.
 
Katika hali inayoashiria kuishiwa kwa hoja na sera, sasa CCM imeonesha hali halisi baada ya Katibu Mkuu wa CCM kuandika makala iliyojaa uongo na uchochezi dhidi ya Lowassa, ambayo imesambazwa nchini Uingereza na Marekani.

Wadau wametupa taarifa, tumeisoma, tunaifanyia kazi.

By Abdulrahman Kinana

In 2013 two British volunteer teachers, Katie Gee and Kirstie Trup – both at the time teenagers – suffered a horrific attack while in Zanzibar, part of Tanzania in East Africa, when two men on motorbikes threw sulphuric acid in their faces.

Flown back to London, surgeons removed from Katie Gee, the worst affected of the two, burnt skin from 30 per cent of her body. One year later, she was still required to wear a plastic mask to reduce the scarring covering her face.


Assisted by investigators from the British police at New Scotland Yard and Interpol, the Tanzanian authorities later arrested for the crime members of Uamsho or "Awakening", an Islamic terrorist group with known links to Boko Haram.

They have now been charged in court. Uamsho has a history of targeting foreigners and even Muslim and Christian religious leaders who do not support their aim of tearing apart the union of Tanzania through terrorism and converting Zanzibar into an extremist state.



Even after the attacks on Gee and Trup, who were only in Zanzibar to help and others who have meant no harm to anyone, as we learnt in the first few weeks of election campaigns in Tanzania, Edward Lowassa, an opposition candidate, has clear sympathies to the aims of these extremists.

For some years the status of Zanzibar within the United Republic of Tanzania has been an important question for the people of that island. A tiny minority advocates separation from the mainland with which it was united in the same year it overthrew the Arab regime. There is nothing wrong in holding perfectly legitimate political debates so long as they are pursued through peaceful, democratic means.


But the question is, how long it would be possible for such discussion to remain peaceful if the opposition were to succeed in the upcoming Tanzanian General Election? Lowassa, who, after only 18 months as Prime Minister, was forced by the Parliament to resign from the post after a corruption scandal has promised the release of those who committed the acid attack.

Allowing the suspected terrorists to walk free and, without doubt, resume their violent campaign would threaten the safety of ordinary Zanzibarians, mainland Tanzanians – most of whom are moderate whether they follow Islam or Christianity – and foreign visitors, many of whom hail from the UK.



Lowassa is proposing this purely as part of his breathtakingly cynical bid for the presidency. Rejected by voters in his attempt to win the nomination to be the candidate for the governing Chama Cha Mapinduzi (CCM) party he immediately decamped to the opposition to become theirs.

Moderate opposition leaders, including Professor Ibrahim Lipumba, the chairman of the predominantly Zanzibarian Civic United Front have resigned, in protest, to support the government. We can only assume that Lowassa's outreach to these extremists was a desperate response to the fact the majority of Zanzibarians in that long-standing stronghold for the opposition have been refusing to support his presidential bid.



It is hardly surprising they do not. This move has angered many Christian bishops who had called for government to swiftly prosecute extremists who are widely believed to have burnt churches and targeted Christians with violence, including acid attacks.

It is clear that Lowassa's interests do not lie with helping the people of Tanzania, but by helping himself to power, and the spoils he believes await him there. After all, the character of Lowassa is well known not just to Tanzanians but also to the West.

Wikileaks revealed through one of many U.S. diplomatic cables that concern Lowassa exactly what the Americans think about him, when then U.S. Ambassador Mark Green stated: "Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years."



Neither Tanzania nor the West can afford to have Tanzania as the new frontier of terrorism in Africa through Lowassa's actions. Despite the terrifying attacks they have conducted over the years, they have not yet demonstrated they have the strength of other jihadist groups such as Al-Shabaab or Boko Haram. Indeed, by comparison, Tanzania has been mercifully peaceful and safe from the violence committed against our neighbours such as Kenya.


While who governs Tanzania is only a question the citizens of my country have the right to answer, it is right that Britain and its allies in the struggle against Islamic terrorism should be extremely concerned were Lowassa to win and action his promise to the extremists.

When Al-Shabaab attacked Westgate Mall in Nairobi in 2013, the UK and US government issued travel advisories to its citizens against visiting many parts of Kenya.

This has seriously affected their crucial tourism industry: it is without doubt that a revival of terror in Zanzibar would devastate the tourism industry of Tanzania and, in particular, that of Zanzibar on which the island is heavily dependent.



So the choice facing Tanzania at this coming election has ramifications both at home but also far beyond our own borders. If Lowassa and his opposition supporters win, a slim possibility as things stand today, then the country stands to become a new front for terrorists, just at the very time when they are facing defeat in other countries across Africa.


Kinana has served as the first Speaker of the East African Legislative Assembly, and Deputy Defence and Deputy Foreign Minister of Tanzania. He now serves as Secretary-General for the governing CCM party.

Soma zaiodi =>
Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists | TheHill.


Aluta Continua!

#Mabadiliko2015
 
Mnatapatapa tu baada ya mgombea wenu kudhihirisha hana uwezo katika kukabiliana na changamoto za kazi ya urais.

Hana moral authority ya kupambana na ufisadi kwa sababu na yeye ni fisadi.

Hana uwezo kiafya.

Hana uwezo kifikra kutokana na madhara yatokanayo na ugonjwa unaomsumbua.

Serikali ya Marekani haihitaji kuambiwa na mtu wa nje kuhusu wasifu wa wagombea Urais wa Tanzania

Hivi kwa akili zako unadhani serikali ya Marekani hawafahamu wasifu wa Lowassa?

Hujasoma kwenye wikileaks kuhusu angalizo la serikali ya Marekani linalomuhusu Lowassa.

Pitia hapa ili usome wanachokisema Wamarekani
 
ameamua kushtaki baada ya kuona jahazi linatakazama
 
Katika hali inayoashiria kuishiwa kwa hoja na sera, sasa CCM imeonesha hali halisi baada ya Katibu Mkuu wa CCM kuandika makala iliyojaa uongo na uchochezi dhidi ya Lowassa, ambayo imesambazwa nchini Uingereza na Marekani.

Wadau wametupa taarifa, tumeisoma, tunaifanyia kazi.

Kwa wale wanaotaka kuisoma, makala hiyo inapatikana kwenye Blog ya Congress ya Marekani, kupitia anuani hii

Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists | TheHill

Tuwe makini!

Aluta Continua!

#Mabadiliko2015

September 10, 2015, 05:30 pm [h=1]Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists[/h] By Abdulrahman Kinana
203


39

In 2013 two British volunteer teachers, Katie Gee and Kirstie Trup – both at the time teenagers – suffered a horrific attack while in Zanzibar, part of Tanzania in East Africa, when two men on motorbikes threw sulphuric acid in their faces. Flown back to London, surgeons removed from Katie Gee, the worst affected of the two, burnt skin from 30 per cent of her body. One year later, she was still required to wear a plastic mask to reduce the scarring covering her face.
Assisted by investigators from the British police at New Scotland Yard and Interpol, the Tanzanian authorities later arrested for the crime members of Uamsho or "Awakening", an Islamic terrorist group with known links to Boko Haram. They have now been charged in court. Uamsho has a history of targeting foreigners and even Muslim and Christian religious leaders who do not support their aim of tearing apart the union of Tanzania through terrorism and converting Zanzibar into an extremist state.
ADVERTISEMENT

Even after the attacks on Gee and Trup, who were only in Zanzibar to help and others who have meant no harm to anyone, as we learnt in the first few weeks of election campaigns in Tanzania, Edward Lowassa, an opposition candidate, has clear sympathies to the aims of these extremists. For some years the status of Zanzibar within the United Republic of Tanzania has been an important question for the people of that island. A tiny minority advocates separation from the mainland with which it was united in the same year it overthrew the Arab regime. There is nothing wrong in holding perfectly legitimate political debates so long as they are pursued through peaceful, democratic means. But the question is, how long it would be possible for such discussion to remain peaceful if the opposition were to succeed in the upcoming Tanzanian General Election? Lowassa, who, after only 18 months as Prime Minister, was forced by the Parliament to resign from the post after a corruption scandal has promised the release of those who committed the acid attack. Allowing the suspected terrorists to walk free and, without doubt, resume their violent campaign would threaten the safety of ordinary Zanzibarians, mainland Tanzanians – most of whom are moderate whether they follow Islam or Christianity – and foreign visitors, many of whom hail from the UK.
Lowassa is proposing this purely as part of his breathtakingly cynical bid for the presidency. Rejected by voters in his attempt to win the nomination to be the candidate for the governing Chama Cha Mapinduzi (CCM) party he immediately decamped to the opposition to become theirs. Moderate opposition leaders, including Professor Ibrahim Lipumba, the chairman of the predominantly Zanzibarian Civic United Front have resigned, in protest, to support the government. We can only assume that Lowassa's outreach to these extremists was a desperate response to the fact the majority of Zanzibarians in that long-standing stronghold for the opposition have been refusing to support his presidential bid.
It is hardly surprising they do not. This move has angered many Christian bishops who had called for government to swiftly prosecute extremists who are widely believed to have burnt churches and targeted Christians with violence, including acid attacks. It is clear that Lowassa's interests do not lie with helping the people of Tanzania, but by helping himself to power, and the spoils he believes await him there. After all, the character of Lowassa is well known not just to Tanzanians but also to the West. Wikileaks revealed through one of many U.S. diplomatic cables that concern Lowassa exactly what the Americans think about him, when then U.S. Ambassador Mark Green stated: "Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years."
Neither Tanzania nor the West can afford to have Tanzania as the new frontier of terrorism in Africa through Lowassa's actions. Despite the terrifying attacks they have conducted over the years, they have not yet demonstrated they have the strength of other jihadist groups such as Al-Shabaab or Boko Haram. Indeed, by comparison, Tanzania has been mercifully peaceful and safe from the violence committed against our neighbours such as Kenya.
While who governs Tanzania is only a question the citizens of my country have the right to answer, it is right that Britain and its allies in the struggle against Islamic terrorism should be extremely concerned were Lowassa to win and action his promise to the extremists. When Al-Shabaab attacked Westgate Mall in Nairobi in 2013, the UK and US government issued travel advisories to its citizens against visiting many parts of Kenya. This has seriously affected their crucial tourism industry: it is without doubt that a revival of terror in Zanzibar would devastate the tourism industry of Tanzania and, in particular, that of Zanzibar on which the island is heavily dependent.
So the choice facing Tanzania at this coming election has ramifications both at home but also far beyond our own borders. If Lowassa and his opposition supporters win, a slim possibility as things stand today, then the country stands to become a new front for terrorists, just at the very time when they are facing defeat in other countries across Africa.
Kinana has served as the first Speaker of the East African Legislative Assembly, and Deputy Defence and Deputy Foreign Minister of Tanzania. He now serves as Secretary-General for the governing CCM party.
 
Katika hali inayoashiria kuishiwa kwa hoja na sera, sasa CCM imeonesha hali halisi baada ya Katibu Mkuu wa CCM kuandika makala iliyojaa uongo na uchochezi dhidi ya Lowassa, ambayo imesambazwa nchini Uingereza na Marekani.

Wadau wametupa taarifa, tumeisoma, tunaifanyia kazi.

Kwa wale wanaotaka kuisoma, makala hiyo inapatikana kwenye Blog ya Congress ya Marekani, kupitia anuani hii

Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists | TheHill

Tuwe makini!

Aluta Continua!

#Mabadiliko2015

Mabadiliko anzieni nyumbani kwenu kwanza.
 
Mnatapatapa tu baada ya mgombea wenu kudhihirisha hana uwezo katika kukabiliana na changamoto za kazi ya urais.

Hana moral authority ya kupambana na ufisadi kwa sababu na yeye ni fisadi.

Hana uwezo kiafya.

Hana uwezo kifikra kutokana na madhara yatokanayo na ugonjwa unaomsumbua.

Serikali ya Marekani haihitaji kuambiwa na mtu wa nje kuhusu wasifu wa wagombea Urais wa Tanzania

Hivi kwa akili zako unadhani serikali ya Marekani hawafahamu wasifu wa Lowassa?

Hujasoma kwenye wikileaks kuhusu angalizo la serikali ya Marekani linalomuhusu Lowassa.

Pitia hapa ili usome wanachokisema Wamarekani

Hahaha..mwaka u lazime tuwajambishe ccm
 
Hivi jamani naomba kuuliza, kati ya Lowassa na Kinana nani ni gaidi? Tena achana na kuwa AlShaabab pia Kinana ni jangili la kutupwa. Basi hao Wamarekani watakuwa wamechanganyikiwa kumuamini Kinana kwamba Lowassa ni gaidi. Maajabu hayataisha duniani

#Mabadiliko Ni Lowassa, Mabadiliko Ni Lazima
 
Back
Top Bottom