Wamarekani hawawezi kutuchagulia Rais,
Watanzania wapenda maendeleo, tumeshamchagua LOWASSA.
Alafu hao WAINGEREZA WATAPIGA KURA...?
Lowassa ni Rais tayari... mtahangaika sanaa snaaaaa...
Kinana kweli kashiwa mbinu ....hizi propaganda ni za kuchonganisha Ukawa na NCHI za Kimagharibi......ni fitna za kimataifa .........
Sidhani kama hao mabinti wa uingereza wanapenda kuwa the subject ya kmapeni za ccm ...Kama udhaifu wao ndio ulisababisha huo ugaidi
huu in ujinga katika kipimo cha juu, kwanza magaidi hawapigi mahali pila sababu hata nyerere alisema baada ya ubalozi ya marekani kupigwa kuwa hapa walegwa siyo watanzania, kenya hakukuwa name shambulio last alshabab hadi pale kenya ilivyo ingiza jeshi somalia, sasa hizi propaganda serikali inazuia alshabab ni ujinga wa hali ya juu, kikwete angekua ametuma jeshi somalia halafu hakuna mashambulizi tanzania tungesema serikali imeizuia alshabab,lakini alshabab hawana sababu ya kushambulia tanzania halafu unasema sisi hatujashambuliwa,mbona Zambia, Malawi zimbabwe na congo hawazungumzii?saa zingine hawa viongozi sijui wanawaza kutumia. ..(nimeogopa sheria ya mtandao)tathmini ingine inauzi sana.Kwani waingereza ndio watakaopiga kura October 25 2015? Mwache Kinana aweweseke!!
Mkuu kweli maana mambo yanayopunguza watalii ni pamoja na haya ya kuua vivutio/tembo.Hii article ingehusu kupugua kwa ndovu hapa niningekuwa na uhalisia zaidi kuliko habari hii ya kusadikika / kufikirika
Kaamua kuandika kidhungu ili kupunguza watu wenye hasira kali wasiwe wengi.Kaongea mengi ambayo hayana uhusiano wowote na Lowassa.
Kama Kinana ana appeal kwa wazungu wamsaidie nafikiri hajui anachokilenga watakaopiga kura ni watanzania sio wazungu.
Common citizens wanajua wahusika wa matukio yale kuwa yalikuwa yakupangwa na serikali, hata wazungu anaofikiri ni wajinga wanajua mhusika ni nani, kwa kumkumbusha tu wazungu wenyewe walikuja kufanya uchunguzi wao wakaacha picha ya mhusika.
Ukiona chama tawala kinaingia kwenye propaganda chafu namna hii jua maji yako shingoni.
Ila alichonifurahisha ni kusema ukweli kuwa Lowassa anaweza kushinda,
"If Lowassa and his opposition supporters win, a slim possibility as things stand today,....".
Yaani we acha tu, kwa ufupi jamaa anasema Lowassa Fisadimsaada tafsiri wa uzi huu kwa kiswahili, yaani nimetoka patupu lugha za watu hizi
Tatizo mkuu kuna wengine tupo kwenye mataa, sijui nani atayafunga mafisadi ccm ikitoka madarakani. Labda tumpe kura yule wa ACT wazalendo? Makaidi? Sijaamua wa kumpa kura yangu. Endeleeni kuchangia labda nitaamua wa kumpa kura yangu.Haki ya mama CCM ikitoka madarakani lazima Kinana na mafisadi wengine wawekwe jela waozee huko.We cannot afford to be made fools like this.Inauma sana.Sisi watoto wetu waende shule za kata lakini wengine watoto wao waende shule za kimataifa, tena kwa kutumia resources walizotuibia.Hatukubali, tutalala nao mbele.
Well said, although I have plan to vote for CCM, but for this guy ...EL...the way he is seeking for presidency..noo..noo.The thread Author is right except for one thing, Lowassa doesn't stand any chance of winning the presidential elections, the bunch of his supporters are a mere group of followers who are just happy that their camp has received a person who's familiarity with politics surpasses that of their former flag bearers who vied for the same position in the past and hence the sympathy and intentional disregard for his past questionable actions on their part otherwise they too know well that he isn't someone right for the position. In short, they are just a bunch of people who had no hope before he fell into their flock and they are now using him as a trump card hoping to win. Apart from those, the rest of Tanzanians have the wisdom to separate between a true leader and someone who wants to rule by all means. Someone who is prepared to use all means necessary including the application of actions which are almost criminal.
Mnapenda maendeleo au ufisadi? Sema kweli.