Kinana: Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists

Kinana: Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists

wapuuzeni hao, si marafiki bali ni wanafiki, kila leo media zao zinaandija mabaya ya Africa na kuonyesha ulimwengu Africa is full of all evils, sisi si wale waliowaongopea kwa vipande vya nguo na mgobore, we are awake against our own resources, hatuko tayari watupangie rais. Africa is for the Africans, wawaache watanzania wao ndo waamue who they need.
 
Walionifurahisha ni waliotoa maoni kwenye hiyo article. wameua mbaya lazima wamarekani wapate akili mpya kwamba CCM imechokwa.

Wanataka CcM iendelee kuwa madarakani waendelee kuiba na kuwapelekea (kuwauzia mali ya wizi bei chee), na sisi tuendelee kuwa masikini
 
Hiyo article imeandikwa na kinana kwenye gazette la the hill. Kwanini upotoshe?
 
Makamanda hiyo Inaonyesha hapa inatoka kwa Kinana kwenda kujikomba ili marekani imwone Lowasa kwamba akichaguliwa atathamini ugaidi.Hiyo propaganda nyingine tena.Ilani zimeisha.Watu wanakosa usingizi kwa Lowasa.Huyu mtu anatisha.Go Lowasa G😵ct Naona Kama ipo mbali sana.
 
Article imeandikwa na jangili wa tembo Abdul rahman Kinana, kama kama kawaida yao wa mesh achokwa na Watanzania wanaenda kuomba backup US
 
Haya kauli za mh. Lowassa zimeudhi wakubwa huko duniani .
Hebu jisome mwenywe hapa

Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists | TheHill - Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists | TheHill

Yaani wewe una fikra mfu na haujielewi kabisa USA ndio walioinjinia mabadiliko kule Libya hadi kusababisha Gadaff kuondolewa na kuuawa Mgombea wako magufuli anatuambia Watanzania mabadiliko tunayoyahitaji yatatuletea mambo kama ya Libya halafu leo hii unatuletea habari hii jitahidi kuchanganya akili yako vizuri na ujiulize kwa nini USA walitaka gadaff aondoke na baada ya kuondoka hali ikoje je wanaofaidi ni wananchi wa Libya au USA? na hivyo hivyo kwetu sisi USA hawapo tayari CCM iondoke kwani ni shamba lao kila wanachokihitaji wanapata na kwa kuwa Lowasa ametamka wazi kuwa mikataba yote itapitiwa upya na ile ambayo haina maslahi kwa Taifa itaangaliwa upya na pia atapitia kipengere kwa kipengere kuangalia kama deni la Taifa tunalodaiwa fedha hizo zilitumikz kwa mambo muhimu ya taifa tofauti na hivyo wote waliohusika itabidi wajibu na hatua stahiki zitachukuliwa. Kwa hiyo wewe mleta mada ninachokuambia tu "AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO'' utaishia kushinda hapa JF wakati wenzako wanapiga dili.
 
Uhuru kenyatta alikua na kesi ya mauaji nje ya nchi, lakini wananchi wakamchagua.

Na hapo ndipo tatizo kubwa la manyumbu lilipo, mnalinganisha visivyolingana!
Unaelewa ni kwa nini Uhuru Kenyata alichaguliwa kuwa Raisi wa Kenya?
Kama hauelewi nitakusaidia ni kwa sababu Wakikuyu ambao ndiyo kundi analotoka Kenyata ndiyo kundi lenye watu wengi Kenya klk yote na hivyo kundi la Wakikuyu waliungana na kundi la tatu kwa ukubwa Kenya liitwalo Kalenjin ndiyo wakaweza kuyashinda makundi mengine kwa idadi wenyewe Wakenya wanaita tyranny of numbers hivyo ukiangalia ni kwamba ni mazingira mawili tofauti kati ya Kenya na TanZania kwani fisadi Lowasa na Genge hawana tyranny of numbers ingawaje wanajaribu kuchochea Walutheri lkn sasa kwa bahati mbaya Wakatoliki ni wengi klk Walutheri!
 
Uhuru kenyatta alikua na kesi ya mauaji nje ya nchi, lakini wananchi wakamchagua.
alichaguliwa kutokana na ukabila kenya. kabila la kenyata kikuyu wao ni 1/3 ya raia wa kenya. mshitakiwa mwenza wa kenyatta wao ni kabila la tatu kwa ukubwa. kwa kufanya hesabu za ukabila kenyatta na ruto wakafanya ushirika wa kikabila na kushinda kisha kufanya hila kuharibu kesi yao the hague. hizo ndio hesabu mbowe anajaribu kufanya. ushirika wa wachg, wakaskazini, na mtandao binafsi wa edo kuingia ikulu bila kujali shutuma ya ufisadi dhidi ya edo.
 
Lowassa is a reject wa CCM, never compare him to uhuru
Sasa hiyo reject ya CCM si ndio product muafaka! Maana imeweza kujitenga na uozo, Uhuru alikuwa katika mahakama ya ICC kwa tuhuma za kuongoza mauaji ya kimbari. Wamarekani wakawatishia Wakenya kuwa wakimchagua basi Kenya itatengwa na jumuiya ya kimataifa, itanyimwa misaada, nk. Lakini kilichotokea ni historia unayoijua. Juzi Obama alikuja kutembelea Kenya. Hawa wa Magaharibi ukiwasilikiza utapotea. Wao wanaangalia masliahi yao tu, wala hawajali yako. Sisi ndio tunajua CCM ilivyotutesa kwa miongo hii yote. Watuache.
 
Haya kauli za mh. Lowassa zimeudhi wakubwa huko duniani .
Hebu jisome mwenywe hapa

Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists | TheHill - Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists | TheHill

Looh, Wamarekani gani wamponda Lowassa?? hujasoma kuwa hiyo ni article imeaandikwa na mtanzania na kuwekwa kweenye hiyo blog. Wakati unapopata article yoyote kutoka internet, jitahidi kusoma na kutafakari hiyo blog ni ya binafsi au ya serikali etc.
 
Article imeandikwa na Kinana halafu mtu anaanzisha thread eti wamarekani wamesema.

Wewe muanzisha thread inaonekana ngeli haipandi.

Kinana kakutana na majibu mazuri sana kwenye hiyo post yake kwenye thehill.com. Kinana mwenyewe muuza pembe za ndovu.Thank you Rashid, Flora, Kilim, Haika, Jozen, Abdalah, Isaac, Bateyunga et al for exposing the lies in Kinana's post.

Lowassa for President
 
Yaani wewe una fikra mfu na haujielewi kabisa USA ndio walioinjinia mabadiliko kule Libya hadi kusababisha Gadaff kuondolewa na kuuawa Mgombea wako magufuli anatuambia Watanzania mabadiliko tunayoyahitaji yatatuletea mambo kama ya Libya halafu leo hii unatuletea habari hii jitahidi kuchanganya akili yako vizuri na ujiulize kwa nini USA walitaka gadaff aondoke na baada ya kuondoka hali ikoje je wanaofaidi ni wananchi wa Libya au USA? na hivyo hivyo kwetu sisi USA hawapo tayari CCM iondoke kwani ni shamba lao kila wanachokihitaji wanapata na kwa kuwa Lowasa ametamka wazi kuwa mikataba yote itapitiwa upya na ile ambayo haina maslahi kwa Taifa itaangaliwa upya na pia atapitia kipengere kwa kipengere kuangalia kama deni la Taifa tunalodaiwa fedha hizo zilitumikz kwa mambo muhimu ya taifa tofauti na hivyo wote waliohusika itabidi wajibu na hatua stahiki zitachukuliwa. Kwa hiyo wewe mleta mada ninachokuambia tu "AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO'' utaishia kushinda hapa JF wakati wenzako wanapiga dili.

Fungua macho usiwe mbishi
 
Sasa Mwandishi ni Abdulrahman Kinana kaandika yanayomgusa. #Hayo siyo mawazo ya Congress ni ya mtu binafsi. Hata wewe peleka yako
 
Fabicated cheap lie,
It is LOWASSA time.
Watanzania tumeamua.
 
Kuwasikiliza Wamarekani ni kubaki kuwa watumwa! Acha watanzania wachague Rais wanaemtaka siyo kutuchagulia.
Kila neno linaumuhimu wa kuchunguzwa haijalishi nani ameongea ila tukubali EL hakubaliki kwa watu wenye kujua siasa na wenye uchungu na nchi hii ya Tanzania jiulize kwa nini!!then utangua na naamini nawe tahutasubutu tena kumtetea fisi EL
 
hao wamarekani hawawizi kutupangia mambo ya nchi yetu kwa ni watu wanaojari maslahi yao tu
 
Back
Top Bottom