Haya kauli za mh. Lowassa zimeudhi wakubwa huko duniani .
Hebu jisome mwenywe hapa
Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists | TheHill - Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists | TheHill

Lowassa is a reject wa CCM, never compare him to uhuru

utahngaika sana lkn kwa majibj unayopata humu jamvini..mwenyewwe unakubali lowasa jembe..kimya kimyaLowassa is a reject wa CCM, never compare him to uhuru
Wamarekani hawawezi kutuchagulia Rais,
Watanzania wapenda maendeleo, tumeshamchagua LOWASSA.
Kwa iyo wew na akil zako timamu unataka kuja tuaminisha kuwa rais ambae wamerekan wanamkubali sisi ndo tumchague?
Kama huu ndo unaista usomi basi taifa hili limelaaniwaa, unataka tuchague kibaraka wa marekani.sio?
Alaf unajiona umeletaa habari mwenyew, acha kukurupuka
Lowasa ni chaguo la watZ sio wamarekani ilo chaguo la wamerekani liende likaongoze marekani sio tz
Haya kauli za mh. Lowassa zimeudhi wakubwa huko duniani .
Hebu jisome mwenywe hapa
Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists | TheHill - Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists | TheHill
Jinga sana wew utakuwa mtumwa wa fikra wew na kizaz chako