Kinana: Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists

Kinana: Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists

mkuu tunakushukuru sana kwa kufichua siri hii , kinana ni muoga sana .
 
Duh, kinana umegeuka mbea hivyo!!. Kura yangu kwa ukawa kuanzia udiwani hadi urais
 
Hao Marekani mbona walishindwa Kenya... Mnakumbuka ule msemo "some choices have consequences?..... Umma ukiamua umeamua

Tena sio some choices mkuu, choices zote zina consequences ila inategemea zitakua nzuri au mbaya. Kwa hili, wananchi tuko tayari kwa consequences za kumchagua Lowassa!
 
Wakenya rais wao kaenda mpaka ICC the Hegue
Kama Nchi za magharibiki wamefanya madili na CCM kwenye mikataba haitasaidia sisi tunataka mabadiliko
 
Wewe unaonekana hujui kusoma kingereza ndio maana unashabikia waraka huu ni mbaya sana alioandika kinana
utasababisha madhara makubwa sana kwa watanzania wataanza kunyimwa visa za marekani
lazima kinana ashitakiwe
 
Marekani wanawezaje kumzuia mgombea uraisi wa nchi nyingine ambayo haiko chini yake?
Angalia mbali zaidi
Wakiamua kutumia nguvu kuiba kura au kutotangaza matokeo wapate support ya US and UK. Ndio lengo hapo mkuu.
 
Asante sana Kinana kwa kujianika kipumbavu namna hii; heri mara mia ungekaa kimya. Wewe Kinana ni katika watu ambao serikali ya Marekani inawafahamu vizuri sana tu na imekuwa ikishangaa umewezaje kuwa Kiongozi wa juu wa chama tawala Tanzania. Bila kujua umefungua pandora box, umeyakoroga na sasa ukae tayari kuyanywa pamoja na machungu yake, asante Kinana, asante CCM.
 
Mnatapatapa tu baada ya mgombea wenu kudhihirisha hana uwezo katika kukabiliana na changamoto za kazi ya urais.

Hana moral authority ya kupambana na ufisadi kwa sababu na yeye ni fisadi.

Hana uwezo kiafya.

Hana uwezo kifikra kutokana na madhara yatokanayo na ugonjwa unaomsumbua.

Serikali ya Marekani haihitaji kuambiwa na mtu wa nje kuhusu wasifu wa wagombea Urais wa Tanzania

Hivi kwa akili zako unadhani serikali ya Marekani hawafahamu wasifu wa Lowassa?

Hujasoma kwenye wikileaks kuhusu angalizo la serikali ya Marekani linalomuhusu Lowassa.

Pitia hapa ili usome wanachokisema Wamarekani

Alichokieongea Kinana ni ukweli mtupu, amewatahadharisha tu wazungu kuhusu mgombea anayeahidi kuwaacha huru washukiwa wa aina ya uamsho, yaani wa ugaidi atakapochukua madaraka......au mnasoma kishabiki? Unajua wakati mwingine mahaba yanapozidi hupunguza uwezo wa kufikiria.
 
Kinana hagombei Arusha hata kwenye ujumbe wa nyumba kumi kwa sababu ni gaidi lilojificha ndani ya CCM.
 
Tatizo wewe hujui kusoma kingereza ndio maana unawaza alichofanya kinana ni kizuri hili linaathari kubwa sana
 
Kinana si NDIO FISADI number 1 Tanzania... hata hao Wamarekani wanamjua sana kuwa ndio KAMALIZA TEMBO, NA MELI ZAKE KAZI NI KUBEBA MENO YA TEMBO WETU...!!!

Hivi mnafikiri U.S.A ni wapuuzi kama wabongo wa kuambiwa tu WAKATI WANAJUA KILA KITU... U.S.A wanaijua Tz kuliko SISI WENYEWE WATANZANIA...

So, Kinana kajichongea mwenyewe....!!!

U.S.A ni RAFIKI wa UKAWA, hata pale Mlimani City siku ya UKAWA, KUMPITISHA LOWASSA KUGOMBEA URAIS, Balozi wa Marekani Mark Childress alikuwa mgeni wa Heshima....

CHINA ndio Rafiki wa CCM, na siku Magufuli anapitishwa Dodoma kuwa mgombea URAIS, balozi wa CHINA aliitwa kama RAFIKI WA CCM...

SASA NGOMA IMEWAWAKIA CCM... sbb U.S.A wanawachukia sana CCM, sbb ya MIKATABA YA GESI, KUUA TEMBO na MADAWA YA KULEVYA.. na vyote CCM washirikiana na CHINA... au CHINA ana mkono ktk MENO YA TEMBO, NA GESI YETU... sasa U.S.A wamekasirika sanaaa...!!

I know, Obama kachukia sana CCM kwa sasa, kwa sbb hizo nilizotaja na NDIO MAANA U.S.A wako pro UKAWA....!!!

Sasa, Kinana anafikiri U.S.A ni bongolala, wanamjua hadi yeye Kinana in & out... so CCM ndio INAKUFA HIVYO...!!!

CCM kifo ni lazima...!!!
 
Kinana ameshaona CCM kwisha habari yake! Hali yake mbaya sana kwa sasa!
 
Hii ngoma imewakalia vibaya CCM, sasa Kinana anajaribu kuokoa jahazi kwa kuwaomba USA waingilie kati utawala wa miaka 54 ya chama kimoja, CCM!

USA wala hawana hizo habari, kwao changes ni wimbo wa asubuhi mchana jioni na usiku!

Imekula kwenu CCM!
 
Mnatapatapa tu baada ya mgombea wenu kudhihirisha hana uwezo katika kukabiliana na changamoto za kazi ya urais.

Hana moral authority ya kupambana na ufisadi kwa sababu na yeye ni fisadi.

Hana uwezo kiafya.

Hana uwezo kifikra kutokana na madhara yatokanayo na ugonjwa unaomsumbua.

Serikali ya Marekani haihitaji kuambiwa na mtu wa nje kuhusu wasifu wa wagombea Urais wa Tanzania

Hivi kwa akili zako unadhani serikali ya Marekani hawafahamu wasifu wa Lowassa?

Hujasoma kwenye wikileaks kuhusu angalizo la serikali ya Marekani linalomuhusu Lowassa.

Pitia hapa ili usome wanachokisema Wamarekani

povu jiiiingi mwisho utapumua jukwaani sasa
 
Back
Top Bottom