Kinana: Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists

Mnatapatapa tu baada ya mgombea wenu kudhihirisha hana uwezo katika kukabiliana na changamoto za kazi ya urais.

Hana moral authority ya kupambana na ufisadi kwa sababu na yeye ni fisadi.

Hana uwezo kiafya.

Hana uwezo kifikra kutokana na madhara yatokanayo na ugonjwa unaomsumbua.

Serikali ya Marekani haihitaji kuambiwa na mtu wa nje kuhusu wasifu wa wagombea Urais wa Tanzania

Hivi kwa akili zako unadhani serikali ya Marekani hawafahamu wasifu wa Lowassa?

Hujasoma kwenye wikileaks kuhusu angalizo la serikali ya Marekani linalomuhusu Lowassa.

Pitia hapa ili usome wanachokisema Wamarekani

..we pumbavu kwani wamarekani ndio wakina nani? mmeishiwa hoja ss ni wazi mnaomba msaada nje ..mae zenu, waache waseme,waandike,wachore, watapike, lowasa ndio Rais wa Tanzania come october 2015!
Hao funza wako ulio attach hapo wasome mwenyewe na magamba wenzio muendelee kujiliwaza..
#kenge!
 
Katika hali inayoashiria kuishiwa kwa hoja na sera, sasa CCM imeonesha hali halisi baada ya Katibu Mkuu wa CCM kuandika makala iliyojaa uongo na uchochezi dhidi ya Lowassa, ambayo imesambazwa nchini Uingereza na Marekani.

Wadau wametupa taarifa, tumeisoma, tunaifanyia kazi.

Kwa wale wanaotaka kuisoma, makala hiyo inapatikana kwenye Blog ya Congress ya Marekani, kupitia anuani hii

Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists | TheHill

Tuwe makini!

Aluta Continua!

#Mabadiliko2015

Kwani kitu gani ambacho Kinana alichosema ambacho mgombea wenu Lowassa hakusema pale jangwani. Si alisema akushinda atawaachia Babu Seya na hao washukiwa wa ugaidi walioko magerezani na mkashangilia!!! Hatufai kuwa rais kwenye nchi inayofuata utawala wa sheria. Na Nina hakika ursis wa JMT hatapata!!!
 
Naona matusi mazito yanaporomoshwa kumuelekea J.H Duni pale Kibanda Maiti.Pia naomba Bilal akilialia na kubembeleza kura.
 
Kinana anaogopa kuwekwa ndani na biashara yake ile...nilidhani angemjibu Sumaye aliyetamka wazi wazi kama Kinana ni muadilifu Sumaye atakua ni Mtakatifu
 
Kwani kitu gani ambacho Kinana alichosema ambacho mgombea wenu Lowassa hakusema pale jangwani. Si alisema akushinda atawaachia Babu Seya na hao washukiwa wa ugaidi walioko magerezani na mkashangilia!!! Hatufai kuwa rais kwenye nchi inayofuata utawala wa sheria. Na Nina hakika ursis wa JMT hatapata!!!

..km kweli una hakika mwambie katibu mkuu aache kulia lia muende kwenye uwanja wa mapambano!
 
Tunataka ajue kwanini masheikh waliwekwa ndani. I hate Edo cheap politics on serious issues like this
 
Mnatapatapa tu baada ya mgombea wenu kudhihirisha hana uwezo katika kukabiliana na changamoto za kazi ya urais.

Hana moral authority ya kupambana na ufisadi kwa sababu na yeye ni fisadi.

Hana uwezo kiafya.

Hana uwezo kifikra kutokana na madhara yatokanayo na ugonjwa unaomsumbua.

Serikali ya Marekani haihitaji kuambiwa na mtu wa nje kuhusu wasifu wa wagombea Urais wa Tanzania

Hivi kwa akili zako unadhani serikali ya Marekani hawafahamu wasifu wa Lowassa?

Hujasoma kwenye wikileaks kuhusu angalizo la serikali ya Marekani linalomuhusu Lowassa.

Pitia hapa ili usome wanachokisema Wamarekani

MsemajiUkweli;
Huu utindio wa ubongo ulio waingia nyinyi maccm kumtukana Lowasa ati hana uwezo kiafya mnajidhalilisha saana tu. Huyo aliyekuwa anaanguka kila aliposimama kuomba kura, alipokuwa anaanguka hadharani, mbona hukusema kuwa ni mgonjwa hafai kuingia Ikulu?
Kama una uwezo, leta sera hapa kumpinga asiingie Ikulu kwa sababu ya sera sio matusi na kumsema ati ni mgonjwa. Hatujamwona akianguka wala kulala wakati mkutano ukiendelea. Bungeni hakukosa hata siku moja japo hakusema lakini hakulala ka wengine ambao hamuwasemi.
Ugonjwa alio nao ni nini, je ni Tezi Dume?? Huo ndio ugonjwa mkuu wa kaya kasema ni wa kitajifa hivyo upewe nafasi ya kipekee kuwa ni janga. Huyu unasema ni mgonjwa ni ugonjwa gani?? Kama ni TD atapona akiwa huko huko Ikulu.
Mlivyo ishiwa sera mkamsimamisha Makongoro ati ateme sera zake. Anasimama anasema atii Ikulu hakuna wodi za wagonjwa. Huyo aliyetibiwa TD akiwa huko ikulu kwa kuwa ni m ccm huyo hamumuoni. Poleni.
Lowasa ataingia Ikulu ya Magogoni hata kwa kubebwa kwa machela. Poleni kidumu chama cha majambazi na mafisadi
 
Katika hali inayoashiria kuishiwa kwa hoja na sera, sasa CCM imeonesha hali halisi baada ya Katibu Mkuu wa CCM kuandika makala iliyojaa uongo na uchochezi dhidi ya Lowassa, ambayo imesambazwa nchini Uingereza na Marekani.

Wadau wametupa taarifa, tumeisoma, tunaifanyia kazi.

Kwa wale wanaotaka kuisoma, makala hiyo inapatikana kwenye Blog ya Congress ya Marekani, kupitia anuani hii

Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists | TheHill

Tuwe makini!

Aluta Continua!

#Mabadiliko2015

MwanaHaki,

Hakuna taasisi yoyote ya serikali ya Marekani inayotumia dot com (.com) domain. Na ninavyoelewa, The Hill Web site iko registered kwa NETWORK SOLUTIONS, LLC. which is a private entity. Kwa maana nyingine, The Hill Web site si ya Congress na kama ukipenda kupata more info, unaweza ku-scrow all way down (mwisho wa page) utakuta inasema "The contents of this site are ©2015 Capitol Hill Publishing Corp., a subsidiary of News Communications, Inc." Tangu lini Congress ya US ikawa sehemu ya private entity?

Na hata kama ingekuwa ni blog ya Congress, sidhani kama wamarekani wana ubavu wa kuwafanya watanzania kubadilisha mind zao at this stage. Ingekuwa hivyo basi hata Hosni Mubarak angekuwa bado yuko kwenye hekalu lake. Makala ya Kinana ni "Last kick of the dying horse"....yeye ametuhumiwa kufanya terorrism kwa wanyama wetu. Sasa terorrist ni nani hapo?

Attachments

  • TheHill.JPG
    TheHill.JPG
    10.8 KB · Views: 1,275
CCM si wanakawaida ya kutembeza watu waliomwagiwa tindikali, wawalete na hao waingereza waliomwagiwa tindikali wawazungushe kuomba huruma zaidi, Kifo cha CCM kimewadia hapa hakuna namna ya kukwepa hili.
 
Katika hali inayoashiria kuishiwa kwa hoja na sera, sasa CCM imeonesha hali halisi baada ya Katibu Mkuu wa CCM kuandika makala iliyojaa uongo na uchochezi dhidi ya Lowassa, ambayo imesambazwa nchini Uingereza na Marekani.

Wadau wametupa taarifa, tumeisoma, tunaifanyia kazi.

Kwa wale wanaotaka kuisoma, makala hiyo inapatikana kwenye Blog ya Congress ya Marekani, kupitia anuani hii

Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists | TheHill

Tuwe makini!

Aluta Continua!

#Mabadiliko2015

huyu kinana ni mbwa kabisa. anatafuta huruma za watanzania lakini hawatazipata kamwe. watanzania wa leo ni werevu kuliko anavyodhani...tumpuuze mwanaharamu huyu.
 
..km kweli una hakika mwambie katibu mkuu aache kulia lia muende kwenye uwanja wa mapambano!

Kwani huoni tayari tuko kwenye mapambano na ikifika Oct 25 ni ushindi mbele kwa mbele!!
 
magamba mtapanua midomo sana kama makinb ya kunguru ambayo kila yakisikia kiota kinatikisika hupanua mamidomo yakidhani mama yao kayaletea chakula kumbe ni upepo tu umetikisa kiota. magamba vyovyote mtakavyofanya na mtake msitake, lowassa ndiye rais ajaye. hamuwezi kuzuia nguvu ya umma kwa kupayuka ovyo kama wenda wazimu...miknd (mikanda) yenu!
 
Katika hali inayoashiria kuishiwa kwa hoja na sera, sasa CCM imeonesha hali halisi baada ya Katibu Mkuu wa CCM kuandika makala iliyojaa uongo na uchochezi dhidi ya Lowassa, ambayo imesambazwa nchini Uingereza na Marekani.

Wadau wametupa taarifa, tumeisoma, tunaifanyia kazi.

Kwa wale wanaotaka kuisoma, makala hiyo inapatikana kwenye Blog ya Congress ya Marekani, kupitia anuani hii

Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists | TheHill

Tuwe makini!

Aluta Continua!

#Mabadiliko2015

Ndiyo maana ninaipenda mtandao huu wa Jf
 
ha ha ha!! Sasa huyo ni michapo ya pwagu na pwaguzi! Jamani hâta Kama Kinana sio muadilifu au mtakatifu, mimi ninaamini anai uelewa mkubwa jinsi haya mambo yanavyofanyakazi, "yale ya picha za mafuriko ya Lowassa za kutengeneza" yanaweza kutamkwa na Kikwete, sio Kinana?! Hebu tusubiri tusikie maoni ya John Kerry!?

Katika hali inayoashiria kuishiwa kwa hoja na sera, sasa CCM imeonesha hali halisi baada ya Katibu Mkuu wa CCM kuandika makala iliyojaa uongo na uchochezi dhidi ya Lowassa, ambayo imesambazwa nchini Uingereza na Marekani.

Wadau wametupa taarifa, tumeisoma, tunaifanyia kazi.

Kwa wale wanaotaka kuisoma, makala hiyo inapatikana kwenye Blog ya Congress ya Marekani, kupitia anuani hii

Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists | TheHill

Tuwe makini!

Aluta Continua!

#Mabadiliko2015
 
CCM si wanakawaida ya kutembeza watu waliomwagiwa tindikali, wawalete na hao wainegereza waliomwagiwa tindikali wawazungushe kuomba huruma zaidi, Kifo cha CCM kimewadia hapa hakuna namna ya kukwepa hili.

Umenena Kamanda wangu! Mfa maji haachi kutapatapa daaadekiii!!!!
 
Tumefika hapa kwa sababu tu watu wamechoka na mwenendo wa CCM. huko Marekani Obama alishinda baada ya watu kuchoshwa na sera za Bush na chama chake. watu wakasema watachagua yeyote atakesimamishwa na Democrats
 
Katika hali inayoashiria kuishiwa kwa hoja na sera, sasa CCM imeonesha hali halisi baada ya Katibu Mkuu wa CCM kuandika makala iliyojaa uongo na uchochezi dhidi ya Lowassa, ambayo imesambazwa nchini Uingereza na Marekani.

Wadau wametupa taarifa, tumeisoma, tunaifanyia kazi.

Kwa wale wanaotaka kuisoma, makala hiyo inapatikana kwenye Blog ya Congress ya Marekani, kupitia anuani hii

Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists | TheHill

Tuwe makini!

Aluta Continua!

#Mabadiliko2015
Inaelekea wana kichinjio chao wanataka kukitumia wakiona wanashindwa na hawataki mataifa makubwa yaingilie; bali niseme tu huu ni ujinga
watu wamekufa kwa makumi na maelfu ndani ya marekani, uingereza na kwingineko kwa vitendo vya kigaidi na wala nchi hizo hazijatambulika kama kile kinachoitwa "front for terorism". Zaidi ya yote hiyo hukumu inayosema uamsho ni magaidi na ni boko haram ipo? Je Lowassa ndiye anawafadhili? au mahakama ikiwaachia nayo itakuwa wafadhili wa boko haram?
 
Back
Top Bottom